Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Wakuu nisaidieni wimbo 'Chozi la yatima wa Jose Mara nimeutafuta bila mafanikio
 
Mkuu kioo naomba nyimbo za marehemu Nasma Hamis (Taarabu): Mambo iko huku, hutomchukua na nyinginezo
 
HIVI WANA JF NANI ANAEMKUMBUKA JAMAA MMOJA ANAITWA EMMANUEL NKULILA, ALITAMBAGA SANA MIAKA YA 1990'S MWISHONI KUNA NYIMBO NAIKUMBUKA ALIIMBA TANZANIA HAKUNA MREMBO KAMA WEWE. MWENYE NYIMBO ZAKE YULE BINGWA ADONDOSHE NAMTAFUTA SANA.
Ipo youtube andika miss tanzania
 
Kuna wimbo nautafuta, sikupata kujua umeimbwa na nani. Nilikuwa nikiusikia sana radio Kiss fm. Chorus yake yaimbwa, "kuanzia TZA, TZB mpaka C..sina hata taksi..sina hata taksi..." Mwenye nao tafadhali.
 
Nafikiri aliimba Chindoman

Ni ya JCB
 
Back
Top Bottom