OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Nilichobaini hapa ni kwamba kumbe zamani nilisikiliza sana mziki. Hakuna nyimbo nisiyoijua humu,hip hop bongo fleva ndo usiseme. Siku hizi ni takataka tu zinaimbwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
Kiss Daniel_YebaNatafuta jina la huu wimbo mwenye kuufahamu
Natafuta wimbo msimamo wa mwalimu Nyerere ulioimbwa na king kiki akiwa na orchestra safari sound.Nimeutafuta sana bila mafanikio.
Upo youtube
Hivi wimbo unaoitwa "Sikutaka" original version Wa Unique Sisters ndo haupogo kabisa? Daaa so sad