Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Wakuu naomba wimbo wa DOUBLE M SOUND UNAITWA FURAHA YA WATANZANIA
BAADHI YA MSHAIRI NI JJ FURAHA YA WAZAZI TANZANI
JJ FURAHA YA WATANZANIAAA
MWENYE NAO ANIPE JAMANI
 
natafuta nyimbo 99840 za Franco Luambo Luanzo Makiadi maana nimeambiwa ana nyimbo laki moja na mimi ninazo 160 tu.
 
Anayejua jina la huu wimbo na mwimbaji please!
 

Attachments

  • 62102934_408435806424034_52330860460956808_n.mp4
    1.7 MB
Kuna jamaa anaitwa Haule, ni muimbaji wa nyimbo za kingoni.Naomba mwenye nazo anisaidie.
 
jamani na0mba wimb0 wa twenty percent anarapu jina cLijuwi ila anaxema "lengo litatimia nikinunua prado ana ana do mambo bdo"
 
Watu kibao... waimbaji nadhani ni wateule mwenye kuweza kuuleta please
 
Naomba Wimbo wa ney wa mitego wakat anaanza music alirekod kwa p funk majani....kama unanipenda we dada
 
Natafuta wimbo wa " Let's get it on " By Jade ilitumika kama sound track kwenye movie ya mwaka 1994 iitwayo " inkwell " original ya wimbo huu alifanya marvin gaye. Sasa mimi natafuta iliyorudiwa na hawa wadada watatu wanaokwenda kwa jina la "JADE" Wimbo una dakika 4 na sekunde 15. Binafsi nimeutafuta sana mpaka nimekata tamaa, Wakuu naombeni msaada wenu Tafadhali.
 
Back
Top Bottom