Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Salaam Wana Jf! Naomba Mnisaidie Jina La Wimbo Na Mwimbaji Alieimba Wimbo Japo Nilikua Bado Mdogo Sikuweza Kukariri Vizuri! Wimbo Upo Hivi
*maisha Yangu Bila Ya Weee
*nitakua Kifaranga Cha Kukuu
*mbele Yako Ewe Bwana Mwewee
*ntawaachia Hao Wenzanguuu
*wajaribu Kuishi Na Weee.

Nihayo Tu Nnayo Kumbuka, Kwenye Miaka Ya 99 Na 2000 Niliusikia Sana! Hivyo Waungwana Naomba Kujuzwa
 
Salaam Wana Jf! Naomba Mnisaidie Jina La Wimbo Na Mwimbaji Alieimba Wimbo Japo Nilikua Bado Mdogo Sikuweza Kukariri Vizuri! Wimbo Upo Hivi
*maisha Yangu Bila Ya Weee
*nitakua Kifaranga Cha Kukuu
*mbele Yako Ewe Bwana Mwewee
*ntawaachia Hao Wenzanguuu
*wajaribu Kuishi Na Weee.

Nihayo Tu Nnayo Kumbuka, Kwenye Miaka Ya 99 Na 2000 Niliusikia Sana! Hivyo Waungwana Naomba Kujuzwa
Nasonga Mbele - V2

 
Blue 3 wimbo unaitwa hitaji ila sasa kuna moja ina temple ya chini ila mimi naitafuta ile waliomba kwa temple ya juu yaani biti yake ilikuwa inafanana naya ile ya wimbo wa love is wicked
 
Wakuu samahani sana kuna wimbo nimeutafuta kwenye searcher zote nimeshindwa kuupata.
Mtaalamu yeyote yule naomba aniwekee wimbo wa NE MO feat Dully Sykes unaitwa vumilia.
Lyrics zake zinaimbwa....baby baby sema basi kama umekubali.
Tafadhali nimetafutni kwa nguvu zote nimeshindwa.
 
Wazee kina kimoja kinaitwa; KIFO CHA NYANI cha Mac Dizzo hii kitu nishaitafuta sn bila mafanikio, anayeweza kuipata anidondoshee ikiwezekana PM itakuwa poa sn aisee__!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mi natafuta ule wa ngoni tribe wanawake wazuri wazuri wameolewa yamebaki manunganyembe
wakunyumbaaaaah, bombiii hii nyumbii hii, "kandindi kandikulila kandindi kandikulila weee ugale wa mayau hunoga na chidoyo" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom