Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Wakuu bado sijapata hii track kwa mwenye nayo.Wakuu natafuta Dear Mama remix iliyoimbwa na Chindo Man.
Nitashkuru sana kwa atakayenipatia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu bado sijapata hii track kwa mwenye nayo.Wakuu natafuta Dear Mama remix iliyoimbwa na Chindo Man.
Nitashkuru sana kwa atakayenipatia.
Natafuta nyimbo ya Joy na Mabuga, sijui inaitwaje, nakumbuka baadhi ya vipande vyake tu..
"Kwaheri bwana mabuga"
"usiondoke usiondoke"
"Umezoea vya kunyonga mabuga vya kuchinja vimekushinda"
Inaanza kwa sauti ya mdada analia.
Wakuu Ntakuta wimbo wa mangwea mabibo hostel
Mmh chief hii nyimbo nimewahi isikia nafikiri kwenye tamthilia flan ya kibongo ....kupata official track itakuwa kipengeleKuna nyimbo nadhani inaitwa jasmini
wanaimba hivi
"jamsin toto la kishua, nimekuzimia
naja kwako nipokeee,jasmin mim masikini wa hali duni......"alaf kuna sehem wanaimba "wenye maneno usiwaskilize matajiri hawana mapenz jasmin....."
Nimeitafuta toka mwaka 2009
Mwenye wimbo wowote wa somida yule msanii wa iringa naomba plz
Unaishi ki long long
Wakuu huu wimbo umekuwa ngumu kupatikana?Nisaidie jina la huu wimbo! Mahadhi yanaakisi mataifa ya Zimbabwe, Afrika Kusini na Lesotho if not mistaken.
Upo katika miondoko ya reggae siyo?Kuna wimbo sijui kaimba nani
" Maisha mbona unanihangaisha
Ipo siku nami nitayapatia"
Baadhi ya mistar yke
" Bos wangu ni mdogo,mimi ni mkubwa namweshimu kwa sababu ya maisha".
Mwenye nao please naomba