Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kati ya mwaka 2008 na 2009 ilifanyika Birthday party ya mzee mandela, natafuta live performance video ya waimbaji siku hiyo.
 
Kuna wimbo wa long kidogo niliusikia, nadhani jina la Wimbo ni Elutta. Sina uhakika ila ni kama umeimbwa na North Atlantic Stars.
 
Ngoni Tribe-Manungayembe
Mike T feat. Ferouz-Mnyalu
Mwenye hizi nyimbo please..
najarib kupakia ila inakataa
Screenshot_20211208-114833_1638953439575.jpg
 
Kuna bongo fleva moja ya miaka ya 2000. Nadhani wimbo ameshirikishwa Pigy Black.
Maneno yanasema hivi "Ee kuna mambo mengi ni nimekufanyia wee mpenzi wangu. Lakini kuna kitu ki moja nimesahau kukueleza"
Halafu pigy black anasema "kila kukicha bebi we uko bize...haaaya kama hutaki techeze basi nieleze. Sio unakaa kimya tu nieleze kachaa nile mkunjo"
Nautafuta ila siujui jina.
 
Back
Top Bottom