Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Obsession JanguMimi natafuta wimbo niliousikia nipo msogo sana.
Sijui unaitwaje na sijui kaimba nani.
Nanukuu.
Aiya iya iya ii! Aiyaooo, aiyaoooo.
Nilijisikia wimbo huu miaka 19 iliopita. Msaada jamani japo link au jina la msanii na wimbo husika.
Jamani aliye na huu wimbo msaada tafadhaliNatafuta wimbo wameimba kwaya kuu Moravian Ruanda, unaitwa maisha ni sawa na maua
Ulikuwepo mtandaoni sijui wameutoa, msaada tafadhali
Mkuu wimbo unaitwa Balaa umeimbwa na Black skull,ukienda opera unupata bila tatzoKuna wimbo nimeutafuta sana...ni wazamani kidogo ni Bongo flava.. unaitwa BALAA/ WATU BALAA
Kiitikio[emoji117]Watu balaa[emoji445] x2 ( kerooo)
Kuna mstari wanaimba[emoji116]
Kuanzia leo watu balaa,[emoji445]
Kukiwa balaa keroooo
MSAADA JAMANI NIIUPATE HUU WIMBO
Wimbo unaitwa Majobless umeimbwa na BDP(Big dog posse)Wakuu mimi kuna nyimbo mbili nazitafuta ila majina ya nyimbo na walioimba siwafaham ni kitambo. Viitikio: Tunakandia sana sometimes tunacheza madeal hatari sana "Majobless jobless. Tunawaza sana mpaka mabichwa yanaongezeka upanaa majobless.
Sio ya Voice wonder na Solo thang?Kuna nyimbo nimewahi kuwa nayo kwenye Kanda yangu iliyoimbwa na Mh Temba nachokumbuka jina ni kama kifo ila kila nikitafuta huko google sipati nyimbo hii.
Mfano wa mistari yake ni pale alipolalamika rafiki yake amechikuliwa na kifo na jana tu alikuwa ameongea nae.
Kifo ww ni nani mbona una.......