Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Mungu muweza vyote, mwenye kujua vyote na mwenye uwezo wote anapoteaje? Umemdhalilisha 'Mungu' mkuu. Halafu unajiita mtu mwenye kuamini?
Mkuu mbona una hasira sana? Kuna kwaya inaitwa Glory Temple Tabata, unaitwa Mungu hapendi hata mmoja wetu apoteee. Jina halisi sikumbuki
 
Natafuta wimbo ulimimbwa na wanakwaya moja ya mistari inasema hivi; watoto wa mitaani njooni tuungane, tuwalilie wazazi machozi ya damu.
 
Natafuta wimbo wa kundi la Wateule unaitwa Cheza mbali pamoja na wimbo wa mchinga Sound gunia la misumari
 
Si kuna ule Uzi wa kutafuta nyimbo,huo hauwezi kosa kule
 
Aaah Joanita,
Unajua mimi ni mbeba zege tu
Miezi sita
Nataabika ili niwe na wewe tu

Huu wimbo sijui unaitwaje nimeutafuta sana. Rapa flani ana rasta na kama sikosei Pasha anaimba hiyo chorus...
 
Kuna BEAT fulani hivi huwa linapigwa wakati maharusi wanaingia ukimbini huko Uingereza…nasearch jina gan kulipata Mkuu?
 
Kuna BEAT fulani hivi huwa linapigwa wakati maharusi wanaingia ukimbini huko Uingereza…nasearch jina gan kulipata Mkuu?
kama sijakosea utakuwa unatafuta 'here comes the bride'
Ukigoogle au youtube ucheki ile version ya Richard Wagner, nadhani ndo original
 
Wanajamvi kheri?
Nina ugonjwa wa moyo tiba yake ni wimbo wa Stara Thomas ft Chid benz unaitwa "Nini sina " producer Lamar.

Natanguliza shukrani za dhati kabisa [emoji120]
Huu upo ulishaupata? Dah Mi natafuta wimbo wake (stara) unaitwa visa. Hata humu nilicomment ila sikupata response.
 
Back
Top Bottom