Ni Yanga tu: Haijawahi tokea timu kufikisha point 13

Kuna jinga linajifanya shabiki wa Yanga na limekumbatiwa na viongozi kazi yake kuichafua tu timu kwa hoja zake za kipuuzi.......hilo shabiki la mikia lirudi tu kwao
Ndo Nani huyo ...
 
Bora sisi kwa mamelod, nyie Al hilal aliwafurushaa km paka mwizi jikoni, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hamna hamu na CL uwiiiih
Mkuu ...Al hilal ya ibenge ni hatare....mngekula hata 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…