Ni Yanga tu: Haijawahi tokea timu kufikisha point 13

Shikiriko kuna mwaka kunakuwaga kwa moto kama champions league tu. Mwaka huu shirikisho imejaa timu dhaifu sana. Mwaka jana huko kulikuwa na vigogo kama Simba, Pirates, Berkane, Pyramids.

Msilisahau hilo.
Jamaa huwa mnalazimisha furaha sana aisee unaleta habari za mwaka jana tena.. hizo timu ulizotaja hapo ni simba tu ipo CL na pyramid mnayo huko kwenye washirikishwa pirate na berkane sijui wako wapi?. Kwani yanga si walikuwa ligi ya mabigwa ilikuwaje mkaenda ligi shirikishwa
 
Mbona kama umechanganya mafail
 
RECORD
Ni Timu tatu pekee Afrika zilizomfunga TP Mazembe ndani nje kwenye michuano ya CAF
2021, Mamelod Sundowns, Afrika Kusini
2023, US Monastri, Tunisia
2023,
Yaani kuifunga TP Mazembe nayo ni rekodi? Basi usisahau pia katika ligi ya Congo, kuna timu kibao zimeweka 'rekodi' hiyo

 
Dah wamekuumbua na mavi makalioni.Huna cha kujibu.Ndio tabu ya unyumbu kutochuja habari unazosikia.Zeruzeru kaandika jamaa kakurupuka kadhani ni kweli.Au pia ndio madhara ya kuanza ushabiki mwaka huu. Mashabiki wa mkumbo.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu...Simba ni kigogo???
 
Mna memory ndogo sana

Simba aliwahi kufika 14 points
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…