Ni zawadi gani ukipewa na mpenzi wako unafurahi sana? Naombeni mnijuze

Niende moja kwa moja kweli mada. wakaka na wababa wa jamii forums naombeni mniambie ni zawadi gani mkipewa na wapenzi wenu hua mnafurahi sana ukiachana na magari, ni vitu gani mkipewa kama zawadi na wapenzi wenu mnaenjoy.
Kitabu Chochote Cha Dini! Unajisikia Raha sana unajua hapa Niko na half malaika na sio jini Mahaba
 
Huwa sitaki zawadi
 
akinipa mbususu huwa nafurahi sana, kwa sababu akili yangu haijawahi waza kingine toka kwake zaidi ya mbusus😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…