Ni zawadi gani ukipewa na mpenzi wako unafurahi sana? Naombeni mnijuze

Ni zawadi gani ukipewa na mpenzi wako unafurahi sana? Naombeni mnijuze

Habari za weekend wanajamvi

Niende moja kwa moja kweli mada. wakaka na wababa wa jamii forums naombeni mniambie ni zawadi gani mkipewa na wapenzi wenu hua mnafurahi sana ukiachana na magari, ni vitu gani mkipewa kama zawadi na wapenzi wenu mnaenjoy.

Natanguliza shukrani 🙏🏼

Half american Glenn Gily Analyse mshamba_hachekwi Uboboh Equation x Poor Brain DeepPond Sharamdala Mpaji Mungu Balqior mzabzab Ushimen IamBrianLeeSnr National Anthem Mzee wa kupambania
Huwa akinipa hela siku hiyo ndio huwa anaona tabasamu langu loote 😊😊
 
Yaanii
JamiiForums12049724.jpg
 
Back
Top Bottom