mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
sisi kukiwa na amani, utulivu bila kununa na makelele..... vikiambatana na mdinyo wa nguvu😂 basi zawadi yeyote itapokelewa......Wakati mi ukiniuliza nitataja....saa, hereni, blacelet, cheni ya kiuno, pochi, viatu , perfume, oooh kabla ya saa kuna pesa, chupa ya wine alooo ni vingi😁
