Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Nimetania tu, kila mtu na utashi wakendo uniambie sasa ipi hiyo 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimetania tu, kila mtu na utashi wakendo uniambie sasa ipi hiyo 😂😂😂
Swali lako ni gumu kwao najibu kama mwakilishi wa wanaume 😁😁😁 men are from mars women are from venus, zawadi ni sign ya caring.....kwa nature sasa caring ni sifa ya mwanamke sio mwanaume, men needs appreciation, trust, nk (sijui umenielewa, ndio maana ukionesha mwanaume kumjali saanaaa anakaa mbali na wewe sio nature yao)walau umenielewa ninachohitaji,, thanks 😊
anipikie chakula nikipendacho..... baada ya hapo tulewe afu tudinyane😂sawa, ntajaribu lakini naweza kupata experience toka kwako pia kitu gani unapenda 😊
nimekuelewa kipenzi,,,Swali lako ni gumu kwao najibu kama mwakilishi wa wanaume 😁😁😁 men are from mars women are from venus, zawadi ni sign ya caring.....kwa nature sasa caring ni sifa ya mwanamke sio mwanaume, men needs appreciation, trust, nk (sijui umenielewa, ndio maana ukionesha mwanaume kumjali saanaaa anakaa mbali na wewe sio nature yao)
Wakati mi ukiniuliza nitataja....saa, hereni, blacelet, cheni ya kiuno, pochi, viatu , perfume, oooh kabla ya saa kuna pesa, chupa ya wine alooo ni vingi😁anipikie chakula nikipendacho..... baada ya hapo tulewe afu tudinyane😂
nimefikiria wee nimeishia hapo.... kweli wanaume hatuna mambo mengi😂
ushauri mzuri sana huu,, barikiwa sana mkuu🙏🏼😊Dadaetu umependa haswa!!
Anyway kama anafatilia mpira na unajua team yake mnunulie jezi lakini kwasasa misimu imeisha subiri msimu uanze mnunulie jezi ya team yake na ukitaka afurahi zaidi print jina lake mgongoni na umfanyie suprice hakika atajiona dunia yote yake
Kama hapendi boli mnunulie nguo nzuri sana jinz,Shati,T-Shirt kali sana ila ukitaka kuupiga mwingi zaidi mnunulie Boksa kila akivaa atakukumbuka NIAMINI
Ikishindikana mnunulie gadget kama Saa au cheni
Ikishindikana mnunulie viatu,Chagua buti kali kama timber black, au simpo au Air jordan OG kama uchumi unaruhusu
Pesa kwanza then msururu wa vitu unafuatia🤣🤣🤣🤣Wakati mi ukiniuliza nitataja....saa, hereni, blacelet, cheni ya kiuno, pochi, viatu , perfume, oooh kabla ya saa kuna pesa, chupa ya wine alooo ni vingi😁
sawa,, Asante kwa ushauri wako mzurii 😊🤗Kwa experience yangu hakuna zawadi kubwa anayopenda mwanaume kama kumpa amani ya moyo. Muheshimu sana na kuwa mwaminifu kwake. Mpe muda wako na usimnyime (ndio, usimnyime😜) Mfanye ajione mwanaume wa thamani sana.
Hapo hata ukimpa leso tu anaridhika🤣🤣🤣
There you are ✌️ umuongeze na space hapo sio kumbana kama umemzaa wewe😁Kwa experience yangu hakuna zawadi kubwa anayopenda mwanaume kama kumpa amani ya moyo. Muheshimu sana na kuwa mwaminifu kwake. Mpe muda wako na usimnyime (ndio, usimnyime😜) Mfanye ajione mwanaume wa thamani sana.
Hapo hata ukimpa leso tu anaridhika🤣🤣🤣
Eeeh ndiwoo mwenyekiti🤣🤣There you are ✌️ umuongeze na space hapo sio kumbana kama umemzaa wewe😁
Inategemea na level of appreciation ulio nayo. Mfano mimi wife anaweza leta boxer na vest nikafurahi sana maana sina muda wakuanza kujitafutia boxer madukani anaweza kuta toleo jipya mm hata sijui kama zimetoka mpya, sasa mwingine akipelekewa boxer anaona sio zawadi kwahyo tunatofautiana hapo. Mm kitu kingine ni kutoka na mwanamke wangu yaani yeye atafute sehemu nzuri iliotulia anipige mtoko mmoja wa maana naenjoy sana asee. Ila mwisho wa yote zawadi kubwa kwangu ni yeye kunipa penzi kwa ratiba yenye mpangilio wa kimahaba sio kunikurupusha kama anataka kuanzisha vitaHabari za weekend wanajamvi
Niende moja kwa moja kweli mada. wakaka na wababa wa jamii forums naombeni mniambie ni zawadi gani mkipewa na wapenzi wenu hua mnafurahi sana ukiachana na magari, ni vitu gani mkipewa kama zawadi na wapenzi wenu mnaenjoy.
Natanguliza shukrani 🙏🏼
Half american Glenn Gily Analyse mshamba_hachekwi Uboboh Equation x Poor Brain DeepPond Sharamdala Mpaji Mungu Balqior mzabzab Ushimen IamBrianLeeSnr National Anthem Mzee wa kupambania
Nimesahau magauni.....sa viatu na pochi ntabeba bila gauniPesa kwanza then msururu wa vitu unafuatia🤣🤣🤣🤣
ushauri mzuri sana huu,,,Asante 😊Inategemea na level of appreciation ulio nayo. Mfano mimi wife anaweza leta boxer na vest nikafurahi sana maana sina muda wakuanza kujitafutia boxer madukani anaweza kuta toleo jipya mm hata sijui kama zimetoka mpya, sasa mwingine akipelekewa boxer anaona sio zawadi kwahyo tunatofautiana hapo. Mm kitu kingine ni kutoka na mwanamke wangu yaani yeye atafute sehemu nzuri iliotulia anipige mtoko mmoja wa maana naenjoy sana asee. Ila mwisho wa yote zawadi kubwa kwangu ni yeye kunipa penzi kwa ratiba yenye mpangilio wa kimahaba sio kunikurupusha kama anataka kuanzisha vita