Ni zawadi gani ukipewa na mpenzi wako unafurahi sana? Naombeni mnijuze

Ni zawadi gani ukipewa na mpenzi wako unafurahi sana? Naombeni mnijuze

Attachments

  • Screenshot_20231011-235354_Instagram.jpg
    Screenshot_20231011-235354_Instagram.jpg
    186.6 KB · Views: 8
Kiukwel kabisa kuna raha ya kupewa zawad na mtu unae mpenda .. Mm ninakawaida yakuwapa watu vitu uwa sichukulii maanan Sana yan mm ni chiz wa vitu vizur asa vya kike yan nikiwaga kwenye Mahusiano uyo mwanamke uwa anafaid vzawad zawad …nikipta nikiona n kizur nitakuchukulia yan mm ad Kwa Mother uwa namchukulia izi Chen bracelet saa alizo nazo n mm Ndio nampelekea … sasa nina ex wangu Mmoja ambae tumishindwa kuachana [emoji23] Yule dada nazan ndie mtu aliewah kunipa zawad nying kuliko mtu yoyote yan kuna vitu alininunulia nikiviangalia tu uwa namkumbuka yeye kuna picha yangu yakuchora kuuubwaaa alinipa kuna picha ndogo ya maneno ya mungu (Alinifundisha vingi Sana kuhusu imani) kuhusu nguo n nyingi Sana … Mimi pia nilimpaga zawad nyingi ila cha ajabu kuna Saa na bracelet yake anasemaga kila akiivaa ananikumbuka mm kuna kipind alienda kusalimia Kwao wakamuibia bracelet yake akanipigia sim anaongea kinyonge kuwa wamemuibia bracelet yake nikamwambia si una bracelet nyingi why unalalamika ivyo akaniambia alikuwa anaipenda Sana (Cha ajabu akaniakumbusha ad siku niliyompa kitu ambacho mimi nilikuwa ata sikumbuk yan) Nikamwambia nitakununulia nyingine ya ivyo ivyo nikutumie
Kwa nn mliachana?
 
Habari za weekend wanajamvi,

Niende moja kwa moja kwenye mada. wakaka na wababa wa JamiiForums, naombeni mniambie ni zawadi gani mkipewa na wapenzi wenu hua mnafurahi sana ukiachana na magari, ni vitu gani mkipewa kama zawadi na wapenzi wenu mnaenjoy.

Natanguliza shukrani 🙏🏼

Half american Glenn Gily Analyse mshamba_hachekwi Uboboh Equation x Poor Brain DeepPond Sharamdala Mpaji Mungu Balqior mzabzab Ushimen IamBrianLeeSnr National Anthem Mzee wa kupambania
Mbunye tu baasi
 
Back
Top Bottom