Ni zawadi gani ukipewa na mpenzi wako unafurahi sana? Naombeni mnijuze

Ni zawadi gani ukipewa na mpenzi wako unafurahi sana? Naombeni mnijuze

Tuongee uhalisia, mwanamke wa kibongo binti (Miaka 18-25) ana kitu gani cha maana cha kunipa, najua binti hawezi nizawadia gari au nyumba hata kama anavyo, hivyo vimkanda, vi-perfume vyake vya laki 2 na visuruali vya elf 40, vitanisaidia nini kwenye maisha..vitu ambavyo hata mm naweza afford..

Si bora anipe makalio/tigo yake niyale nipate raha.. zawadi ndogondogo na kubwa k.v, gari, nyumba, nikivipata, itakuwa ni jukumu langu kumpa yeye..

Kama mwanaume ukitegemea karne hii mwanamke akuoneshe upendo kwa kukupa zawadi, utapata tabu sana, wanawake wenyewe mdo hawahawa ukimtongoza leo kesho ana kuomba hadi vocha, akili ya kukupa walau zawadi ya moca, wataitoa wapi Leejay49

Inaelekea hujawah pata mwanamke aliekupenda kweli.
 
Asilimia 85 ya wanaume hatujawahi pata mwanamke alietupenda kweli..

We mwenyewe jiulize, mara ya mwisho kumpenda kweli mwanaume ilikuwa lini Kelsea
Mbona hata wanawake tunakutana na walaghai wengi tu lkn kuna wakati unaweza kutana na mpenzi akakupenda kweli. Wewe hii bahati naona ilikupita kushoto. Na pia inawezekana wanaokupenda kweli wewe huwataki na unaowataka hawakutaki. Lazima utuone chenga.
 
Habari za weekend wanajamvi,

Niende moja kwa moja kweli mada. wakaka na wababa wa JamiiForums, naombeni mniambie ni zawadi gani mkipewa na wapenzi wenu hua mnafurahi sana ukiachana na magari, ni vitu gani mkipewa kama zawadi na wapenzi wenu mnaenjoy.

Natanguliza shukrani [emoji1374]

Half american Glenn Gily Analyse mshamba_hachekwi Uboboh Equation x Poor Brain DeepPond Sharamdala Mpaji Mungu Balqior mzabzab Ushimen IamBrianLeeSnr National Anthem Mzee wa kupambania
Mimi akinipa chochote ambacho amekitoa kwa moyo huwa nafurahia sana,kinaweza kuwa cha gharama ndogo sana lakini akishema ni zawadi huwa nafurahia sana,sema juzi kati hapa alinikwaza aliniletea jezi ya utopolo nilimmind sana nikaikataa.[emoji57][emoji57]
 
😃😂😂😂😂, Kwani haijui wewe shabiki wa timu gani😃😃
 
Kiukwel kabisa kuna raha ya kupewa zawad na mtu unae mpenda .. Mm ninakawaida yakuwapa watu vitu uwa sichukulii maanan Sana yan mm ni chiz wa vitu vizur asa vya kike yan nikiwaga kwenye Mahusiano uyo mwanamke uwa anafaid vzawad zawad …nikipta nikiona n kizur nitakuchukulia yan mm ad Kwa Mother uwa namchukulia izi Chen bracelet saa alizo nazo n mm Ndio nampelekea … sasa nina ex wangu Mmoja ambae tumishindwa kuachana [emoji23] Yule dada nazan ndie mtu aliewah kunipa zawad nying kuliko mtu yoyote yan kuna vitu alininunulia nikiviangalia tu uwa namkumbuka yeye kuna picha yangu yakuchora kuuubwaaa alinipa kuna picha ndogo ya maneno ya mungu (Alinifundisha vingi Sana kuhusu imani) kuhusu nguo n nyingi Sana … Mimi pia nilimpaga zawad nyingi ila cha ajabu kuna Saa na bracelet yake anasemaga kila akiivaa ananikumbuka mm kuna kipind alienda kusalimia Kwao wakamuibia bracelet yake akanipigia sim anaongea kinyonge kuwa wamemuibia bracelet yake nikamwambia si una bracelet nyingi why unalalamika ivyo akaniambia alikuwa anaipenda Sana (Cha ajabu akaniakumbusha ad siku niliyompa kitu ambacho mimi nilikuwa ata sikumbuk yan) Nikamwambia nitakununulia nyingine ya ivyo ivyo nikutumie
 
Tuongee uhalisia, mwanamke wa kibongo binti (Miaka 18-25) ana kitu gani cha maana cha kunipa, najua binti hawezi nizawadia gari au nyumba hata kama anavyo, hivyo vimkanda, vi-perfume vyake vya laki 2 na visuruali vya elf 40, vitanisaidia nini kwenye maisha..vitu ambavyo hata mm naweza afford..

Si bora anipe makalio/tigo yake niyale nipate raha.. zawadi ndogondogo na kubwa k.v, gari, nyumba, nikivipata, itakuwa ni jukumu langu kumpa yeye..

Kama mwanaume ukitegemea karne hii mwanamke akuoneshe upendo kwa kukupa zawadi, utapata tabu sana, wanawake wenyewe mdo hawahawa ukimtongoza leo kesho ana kuomba hadi vocha, akili ya kukupa walau zawadi ya moca, wataitoa wapi Leejay49
Aisee sii mchezo. Hii ni point juu ya point. Kweli hawa hawana la maana lolote lakutupa apart from mbususu. Yeye atoe mbususu tuu nothing else
 
Magari na nyumba sio zawadi ya kumpa mpenzi, bali hiyo ni uwezo wako binafsi.

Zawadi ya kupewa na mpenzi ni tule tu vitu tudogo tudogo twa kipuuzi, huto ndo huleta ya zawadi.

Kwangu binafsi niletee hata pipi Ivory nitashukuru mno maana itaonyesha ni jinsi gani unanithamini na kunikumbuka.
 
Back
Top Bottom