The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Kombe la CAF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii movie ni kali vibaya mno😍
[emoji23][emoji23][emoji23]kwakweli
Hii movie ni kali vibaya mno[emoji7]
Inasisimua, umeshapata zawadi ya mpenzi?umeona eee😍😊🤗
Mnunulie WALLET, MKANDA , SAA NA PERFUME.yani sijawahichoka kuitazama🤩,, bestie hawa watu hawapendi zawadi eti🤦♀️
Mimi naichagua hii zawadi toka kwa mwanamke, kwa niaba ya mzabzab..Hapa kila mtu anataja zawadi ya mbususu, cha ajabu tukiwapa mbususu huwa mnaponda eti mwanamke hana cha kuoffer zaidi ya mbususu, mara ukitoa mbususu kwa mwanamke atakupa nini......
mzabzab hebu chagua zawadi mbali na mbususu
kwanza nilichogundua hampendi zawadi mnawaza mbususu tu[emoji23][emoji23],,,ila nimepata nyingi tu nzuri ninakazi ya kupima tu mindset yake nijue nimpe ipi,,,
Unamnunulia boyfriend/mumeo hio zawadi, mfano perfume ya elf 15, kuna mawili,Mnunulie WALLET, MKANDA , SAA NA PERFUME.
Bando la mwezi
hamna mkuu ni ishara tu ya mapenzi😂 unakuza mamboUnamnunulia boyfriend/mumeo hio zawadi, mfano perfume ya elf 15, kuna mawili,
1)ushafanya hesabu na kugundua kua hio ni sehemu ya hela aliowahi kukuhonga hivyo unamrudishia kidogo.
2) kama sivyo, ukimpa perfume ya elf 15, unapiga hesabu kichwani kuwa baada ya wiki moja umwombe elf 30, ili hela yako ya perfume irudi na faida..
Wanawake ndio mnavo-reason hivyo mkitugea zawadi Ms eyes
Huwajui wanawake vizuri hehee, wanawake wanaotoa zawadi kwa ishara ya mapenzi ni wachache mno mshamba_hachekwihamna mkuu ni ishara tu ya mapenzi😂 unakuza mambo
Kwa niaba ya wadada naomba kujibu hoja mheshimiwa.Habari za weekend wanajamvi,
Niende moja kwa moja kweli mada. wakaka na wababa wa JamiiForums, naombeni mniambie ni zawadi gani mkipewa na wapenzi wenu hua mnafurahi sana ukiachana na magari, ni vitu gani mkipewa kama zawadi na wapenzi wenu mnaenjoy.
Natanguliza shukrani 🙏🏼
Half american Glenn Gily Analyse mshamba_hachekwi Uboboh Equation x Poor Brain DeepPond Sharamdala Mpaji Mungu Balqior mzabzab Ushimen IamBrianLeeSnr National Anthem Mzee wa kupambania