Ni zawadi gani ukipewa na mpenzi wako unafurahi sana? Naombeni mnijuze

Ni zawadi gani ukipewa na mpenzi wako unafurahi sana? Naombeni mnijuze

amna bhana,,,nyie ndo mnajua kutupanga balaa[emoji23]

Ni kwa sababu ya Uchokozi wenu , Imaging uko zako Unawaza Mengineyo ili Mambo yaende Mara Pisi hiyoo imebarikiwa , tentemente ndio usiseme [emoji3]. Kutafutiana lawama tu huku
 
Back
Top Bottom