Niambie wanyama watatu unaowapenda Sana huchoki kuwaona

In general wote kuku na njiwa ni wanyama, lakini siyo wanyama wa kundi la mamalia (kama mbwa au paka), bali ni wanyama wa kundi la ndege.

Pia mimi binafisi naamini viumbe hai vyote ni wanyama hata miti sema wanasayansi tu ndo wanatuchanganya.
😅😅😅 hapo sawa ,hivyo kuku ni mnyama ,ibumex anasema kuku si mnyama ni fangasi😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…