Niandae bajeti ya mafuta kiasi gani kwenda Singida?

Aliyekwambia utapata RPM 2.5 au 3.5 kwenye 140 speed ni nani?

Ukiiendesha gari RPM ya 2.5 au 3.5 hauwezi kuzidi speed 120.

Naona umehamisha goli baada ya kukuwekea ulichokitaka.

Hivyo tukija kwenye matumizi ya RPM utaleta ubishi huenda bado haujaendesha sana gari safari ndefu mara kwa mara.
 

Mkuu hiyo BMW yako ni gani?

Au ina engine gani na Cc ngapi?

Isije kuwa 1G na N46B20... Hizo engine Zina Cc sawa ila consumption ni Ardhi na mbingu.

1G na Cc zake 1990 ila consumption kubwa kuliko N52B30 yenye Cc2996....
 
Mkuu hiyo BMW yako ni gani?

Au ina engine gani na Cc ngapi?

Isije kuwa 1G na N46B20... Hizo engine Zina Cc sawa ila consumption ni Ardhi na mbingu.

1G na Cc zake 1990 ila consumption kubwa kuliko N52B30 yenye Cc2996....
Cc 1900. Hio hapo Mpwa
 

Attachments

  • Screenshot_2022-09-05-13-02-08-622_com.whatsapp.jpg
    86.9 KB · Views: 17
Kwa toyota yes tena siyo zote...

Ila kuna gari nyingi tu unafika 140 at 3000 rpm
 
Em soma hio post yangu ukiwa umetuliza kichwa

Ku cross multiplication huitaji kuendesha gari hata

Chukua data final gear za gari husika na final reduction hii ni ratio ya diff ..size ya tairi kwanzia rim na tairi lenyewe kujua one complete turn linaenda umbali gani ni simple sana tatizo hutaki jifunza ujifunza..utagundua 3.5k kwenye LX ni speed kubwa sana iko above kph ulizo cremu na 3.5k kwenye kirikuu ni speed ya kawaida sana na 3.5K kwenye brevis uko above 130 kidogo
 
Hizo premio zipo Boss
Huenda ikawepo labda kwa matoleo ya miaka ya 80-2000 maana only 2.0L engine iliokuwa sokoni zaidi ni 3S-FE.

Kwa gari za kuanzia 2001 to date wakitaka kuuza za 2.O zinakuja na engine yenye ugomvi na mafundi Tanzania nzima πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ 2.0L 1AZ-FE au wanapenda kuiita D-4! Hio hata gari iwe imesajiliwa EAF ukitaka kuuza leo offer zitanzia million 8
 
Brother nauwezo wa kyuingiza gia zote rpm isivuke 3 na nikaenda hata speed 180 rpm isivuke 3...

Automatica vehicle unaweza kuengage gia zote kama manual tu na ukaweza kucontrol rpm isivuke 3
 
Hahahahaha amehamisha magoli! Anyway hata hio 140km/hr kwa 3rpm unaipata tu kutegemea na gari, Mimi hio nimeenda Hadi 150km/hr kwa 3.5rpm kwakua gari yenyewe Ina 260km/hr ila Kwa gari yenye 180km/hr ni ngumu
 
Brother nauwezo wa kyuingiza gia zote rpm isivuke 3 na nikaenda hata speed 180 rpm isivuke 3...

Automatica vehicle unaweza kuengage gia zote kama manual tu na ukaweza kucontrol rpm isivuke 3
Ni kweli kabisa aiseeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…