Niandae bajeti ya mafuta kiasi gani kwenda Singida?

Yes CVT Kuna ka uhafadhali


Nishatoka na 5A safari kilometa 920.. speedometer haikuwa accurate dash ikisoma 70kph speed iko 103 kwa gps

Hapo huenda ulifunga tyre size kubwa isiyokuwa sahihi kwa mujibu wa mtengenezaji wa gari aliyeipendekeza.
Jamaa ana asili ya ubishi wa ajabu sana. Kuna siku alikuwa anabisha ukubwa wa engine hauhusiani na displacement nikajua hamna mtu hapo,halafu anaelimisha watu kuhusu magari, sometimes ni better kukaa kimya kutokuumiza kichwa.

Humu kuna watu wabishi kama wanalipwa vile kwa ajili ya ubishi wao.
 
Land cruiser 300 series ina gia 10 auto,
 
Yap !!! Four speed pattern
1 0 to 20 km/h
2 21 to 40km/h
3 41 to 80 km/h
4 81 km/h hadi mwisho
Sijajua pattern za latest auto , ila lqzima zitakuwa very efficient
Kwamba nikiwa na speed 70 na cruise nayo gari haiwezi maliza gia kwamba nitakuwa no 3 Hadi nifike 81šŸ¤”
 
Unakaa siku ngapi huko? Ndio nijue ni kiasi gani ya iyo bajeti...pia nikushauri mafuta ya vaseline ndio mazuri.
 
Hahaa mkuu umeshawahi kuwa ticha wa driving school sio kwa mfano huo.
 
Kwamba nikiwa na speed 70 na cruise nayo gari haiwezi maliza gia kwamba nitakuwa no 3 Hadi nifike 81šŸ¤”
Yap ,ipo hivo namba nne huwa haiingii hadi ufike 81 na itatoka kama speed itakuwa chini ya 80km/h , kwa gari za zamani lakini, hizi mpya sijui pattern yake
 
Ila Kuna Watu ni wabishi, nimeendesha Hadi 140km/hr kwa rpm ya 3.....sasa kama gari Ina speed 260km/hr anashangaa Nini hio rpm?
Watu tunagusa karibia 150kph huku RPM zimepoa kama zipo kwenye fridge.... ukiona nasogea kwenye 3 RPM jua naitafuta 170+kph
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…