Nichagulieni MKE kati ya hawa wawili, Nawaomba sana...

Ogopa sana watu wanaoamini mambo ya ushirikina... atakuja akuwekee limbwata siku moja usijielewe unafanya nini
Yani nawaza sana sana hili jambo watu wa ushirikina mbeleni bora awe mwanaume mshirikina ila mwanamke lazima tu siku moja ataenda nishtaki kwa mganga.

Ndoa najua kuna kukoseana,siku nimemkosea na akaona nimemuonea nadhani kimbilio lake ni kwa mganga kunikomesha na Ukute kaniendea kwa mganga mzuri,naweza geuzwa ndondocha.
 
Kama umelijua hilo basi fanya maamuzi sahihi haraka iwezekanavyo
 
ni kweli nina chaguo ila unapoweka jambo wazi kwa watu wengi unaweza pewa mawazo ambayo hukua nayo ndio mana nikalileta hapa nione,maana kuna watu wazima humu wazazi wetu wenye upeo zaidi yangu na wenye experience mana mimi sio kwanza kupitia hili.
 
Oa mama mtoto wako kabla hakijaumana,inawezekana akijua una mwanamke mwingine ndo kwisha habari yako
anajua na ananiambiaga anajua na hanilaumu kwan anasema ni moja ya makosa aliyo yaruhusu yeye ila nikae nikitambua siku namuoa ndio mwisho wa hiyo michepuko yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…