Nichagulieni MKE kati ya hawa wawili, Nawaomba sana...

Ya pili ni Mswahili anapenda ushirikina mambo ya kwa kalmanzila haoni shida, kuchanjwa chale its ok with her hana shida eneo hilo shida akiwa nazo yeye ni kwa wataalamu,nk (kitu sikipendi kwakweli)
Bado ameingia kwenye to 2, na bado ukashindwa kufanya maamuzi hadi ukaomba walimwengu waingilie?
Ama kweli uchawi upo!
 
Shida yetu wanaume utachagua A ila utasema Dah ila B namuachaje and vice versa.

Ushauri wangu ni kwamba tafuta mume awaoe wote watatu
 
Kwani hapa uliposema hivi ulimaanisha sifa zipi "Ukweli ni kwamba Mpenzi B sina mtoto nae ila kimuonekano ni Mzuri Juu mpka chini hana kasoro ni aina ya wanawake ambao akikuptia mbele yako huwezi acha omba namba ni mzuri plus plus (wanaume nadhani tunaelewana)".
 
Tafuta mwamke ambaye nafsi yako inapenda angalizo muheshimu mzazi mwenzio. Swali fikirishi je ukiambiwa nyama ni ileile unaelewa?
 
Unamnunia mtoto wa kike, hapo kwanza ncheke
 
Ushauri ni huu oa mtu ukiwa naye furaha ipo kutoka moyoni kila wakati ila fanya utafiti huu. Je ukiwa naye anaamani na furaha basi mengine ni sawa ila huyu muislamu ningumu kuwa mkristo kamili , kwenda kwa waganga hakuna mwanamke ambaye haendi na pia .

Wanawake ni wachawi balaa asikuambie mtu so ni bora ambaye hakufichi kitu kuliko anayekuficha . Napia angalia nani ukiwa naye mambo hunyooka ila huyu wa mbali anasifa kubwa moja . Anamtoto , mkristo halisi, anaweza kukisaidia ukikwama .

So mke wakuoa ni huyo . Nimekukoroga
 
Wanaume mnaoshauri kimihemko.mnazingua kweli,hivi nmesifia wanawake wote ila naona mmekomaa kweli na shepu ya mwanamke A nmesema n mzuri sijatamka maswala ya shepu,sijui n kwann wanaume mnadhani wanaume wote uzuri ni shepu na kigezo?
 
Oa MGALATIA achana na HAMAS
 
Hatuoi sura ya mwanamke tunaoa mwanamke! Kama una akili chukua huyo ambaye umeshazaa naye kwa faida ya mtoto na watoto! Harafu Achana na tamaa za uasherati na uzinzi,oa mke tulia harafu tafuta pesa.
 
Kwanza huwezi kumuita mtu ana dini halafu mshirikina hivyo viwili haviendani kabisa
Ni mnafiki tu anaeweza kujinasibu kuwa ana dini halafu mshirikina
Huyo hakufai kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…