Nick wa Pili bado ana ushamba fulani hivi wa kishule shule

Nikki wa Pili yupo sahihi, sema ni ushamba wa Watanzania tu kuhusu hizi Dini na vitabu vyake

Wanafikiri vitabu vya Dini vimeshushwa mbinguni kumbe tu viliandikwa na wanadamu wa kipindi hicho katika hatua za kujaribu kuleta ustaarabu na haki Duniani

Leo hii ukikosoa badala ya kukujibu kwa hoja wanakushambulia mara unakufuru, unajiona umesoma n.k
Mbona nasikia kuna dini flani wanasema waliteremshiwa vitabu vya dini kutoka mbinguni! ?
 
Toka amjaze mimba yule demu wake, na hali nzima ya ujauzito kuibeba yeye, na hata baada ya demu wake kuoa,akili zake zimekalia kisichana sichana.
 
Hapo vip!!
Binafsi mimi ni mtu wa Arusha, ila Nick wa pili sijawahi kumkubali kabisa.

Kwanza hatua aliyofikia kuikosoa Biblia kisa Mwanamke, ni kumkosea muumba wake na kuwakosea wakristo wote Duniani.

Nick2,wakati anamvalisha Mchumba wake pete ambapo ni jambo jema kabisa.
Baada ya tukio hilo akasema sio kweli kuwa mwanaume ndio wakwanza kuumba na Mungu ila imeendikwa hivyo kwasababu Bliblia imeendikwa na wanaume.Hivyo eti ni mfumo dume.

Yeye amefanya Wap utafiti akajua yaliandikwa kwenye Bliblia sio kweli, au ameshushiwa kitabu kingine na Mungu inayopinga na Bliblia? Kwa sababu hauwezi unatumia akili za music na banki kupinga Bliblia.

Huyu jamaa binafsi sijawahi kumkubali, huwa namuonaga mshamba fulani hivi,kwa namna alivyo ikosoa Bliblia ni kiwango cha akili ya watoto wa form Two wanao balehe.

Huyu anajionaga smart kuliko Kila mtu..huu ni ushamba, angekuwa angekuwa smart kuliko Kila kitu angegundua Kila kitu ndege, magari, simu n. K...
Nasishangai wakatokea wafuasi wake, kwasababu katika jambo lolote liwe la kipumbavu au la maana, lazima linawafuasi, mfano hata nabii Tito alikuwa na wafuasi kindaki ndani, lakini mwisho wa siku nabii Tito alikuja kuokoka, akakiri upumbavu na Uovu wake, lakini kumbuka katika upumbavu alikuwa na wafuasi.
Tatizo lake kubwa ni kujiona bora kuliko binadamu wenzake.

Ni mshamba katika kila kona.

Ananikera pia 😉 😉 😉 😉 😉
 
Hawajua wanawake vizuri,the more you care ,the more it pain
 
Toka amjaze mimba yule demu wake, na hali nzima ya ujauzito kuibeba yeye, na hata baada ya demu wake kuoa,akili zake zimekalia kisichana sichana.
Mshamba anajiona kafanya kitu ambacho wenzake hawajawahi kufanya kumbe wenzake washafanya zamani wamechoka wanaona kawaida sana😉😎
 
Mi nataka achapiwe yule manzi wake hizo qoute kuhusu supremacy ya wanawake atazikana fasta .

Jamaa anajiona kapata sana ngoja wahuni tufanye yetu .

Huko mbele atakuja simulia tu
Mwanangu umeongea bonge moja LA point!!
 
Ha
Hana Ya Sociology mkuu Sociology alisoma Bachelor ila Uzamili alisoma Development Study pale IDS alikua anapita kachokaaa nakibegi chake dogo bado Sana Yule
Hahahah et alikuwa anapita na kibegi chake kachokaaa
 
Mkimtombea atakufwa aisee, amependa sana mpaka kupitiliza
Oya wahuni eh so tujipange tukamtombee yule dem wake,gharama haitozidi milioni 5.
Tunaenda kwa muhindi tunakodi range rover kisha tunamtuma mwamba mmoja apige pamba aende nayo amlie mingo ndani ya wiki tu tunampata alaf tunamgwajima tena hatueki YouTube tunatupia insta
 
Anatumia jina gani yule binti kwenye mitandao hii ya kijamii yule dogo huwa hataki kabisa kumtag akimpost?
 
Wewe ndo mshamba sasa
Ni hayo tuu

Back
Top Bottom