Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,609
- 5,144
Sante mkuuNipe muda kidogo nitakupa summary. Ni kutoka kwenye kitabu cha Da Vinci Code, cha mwandishi Dan Brown.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sante mkuuNipe muda kidogo nitakupa summary. Ni kutoka kwenye kitabu cha Da Vinci Code, cha mwandishi Dan Brown.
Kina Shishi Baby watakuwa kila anachoongea wanajibu 'yes mr masters sir'.sasa kama anajiona kasoma wenzake walioshia STD VII kina Igunga girl si atakuwa anawaona kama wadudu
Mbona nasikia kuna dini flani wanasema waliteremshiwa vitabu vya dini kutoka mbinguni! ?Nikki wa Pili yupo sahihi, sema ni ushamba wa Watanzania tu kuhusu hizi Dini na vitabu vyake
Wanafikiri vitabu vya Dini vimeshushwa mbinguni kumbe tu viliandikwa na wanadamu wa kipindi hicho katika hatua za kujaribu kuleta ustaarabu na haki Duniani
Leo hii ukikosoa badala ya kukujibu kwa hoja wanakushambulia mara unakufuru, unajiona umesoma n.k
Tatizo lake kubwa ni kujiona bora kuliko binadamu wenzake.Hapo vip!!
Binafsi mimi ni mtu wa Arusha, ila Nick wa pili sijawahi kumkubali kabisa.
Kwanza hatua aliyofikia kuikosoa Biblia kisa Mwanamke, ni kumkosea muumba wake na kuwakosea wakristo wote Duniani.
Nick2,wakati anamvalisha Mchumba wake pete ambapo ni jambo jema kabisa.
Baada ya tukio hilo akasema sio kweli kuwa mwanaume ndio wakwanza kuumba na Mungu ila imeendikwa hivyo kwasababu Bliblia imeendikwa na wanaume.Hivyo eti ni mfumo dume.
Yeye amefanya Wap utafiti akajua yaliandikwa kwenye Bliblia sio kweli, au ameshushiwa kitabu kingine na Mungu inayopinga na Bliblia? Kwa sababu hauwezi unatumia akili za music na banki kupinga Bliblia.
Huyu jamaa binafsi sijawahi kumkubali, huwa namuonaga mshamba fulani hivi,kwa namna alivyo ikosoa Bliblia ni kiwango cha akili ya watoto wa form Two wanao balehe.
Huyu anajionaga smart kuliko Kila mtu..huu ni ushamba, angekuwa angekuwa smart kuliko Kila kitu angegundua Kila kitu ndege, magari, simu n. K...
Nasishangai wakatokea wafuasi wake, kwasababu katika jambo lolote liwe la kipumbavu au la maana, lazima linawafuasi, mfano hata nabii Tito alikuwa na wafuasi kindaki ndani, lakini mwisho wa siku nabii Tito alikuja kuokoka, akakiri upumbavu na Uovu wake, lakini kumbuka katika upumbavu alikuwa na wafuasi.
Mshamba anajiona kafanya kitu ambacho wenzake hawajawahi kufanya kumbe wenzake washafanya zamani wamechoka wanaona kawaida sana😉😎Toka amjaze mimba yule demu wake, na hali nzima ya ujauzito kuibeba yeye, na hata baada ya demu wake kuoa,akili zake zimekalia kisichana sichana.
Time will tell hizo exictment alizonazo ni TEMPORARY.Hawajua wanawake vizuri,the more you care ,the more it pain
Kwa kweli,bora angekuwa anafanya kwa siri Ila siyo kupost mitandaona,kisaikolojia ina affectTime will tell hizo exictment alizonazo ni TEMPORARY.
Mwanangu umeongea bonge moja LA point!!Mi nataka achapiwe yule manzi wake hizo qoute kuhusu supremacy ya wanawake atazikana fasta .
Jamaa anajiona kapata sana ngoja wahuni tufanye yetu .
Huko mbele atakuja simulia tu
Nchi nzima yeye ndio ana masters ya sociology
Kwani wenye PhD za engineering, wameisaidia Nini hii nchi, hata baiskeli hawajaweza unda,Mbona nimeskia ni ya development studies
Hahahah et alikuwa anapita na kibegi chake kachokaaaHa
Hana Ya Sociology mkuu Sociology alisoma Bachelor ila Uzamili alisoma Development Study pale IDS alikua anapita kachokaaa nakibegi chake dogo bado Sana Yule
Oya wahuni eh so tujipange tukamtombee yule dem wake,gharama haitozidi milioni 5.Mkimtombea atakufwa aisee, amependa sana mpaka kupitiliza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]msameheni bure huyu ndiyo demu wake wa kwanza ndiyomaana ana mchecheto sana.
Anatumia jina gani yule binti kwenye mitandao hii ya kijamii yule dogo huwa hataki kabisa kumtag akimpost?Oya wahuni eh so tujipange tukamtombee yule dem wake,gharama haitozidi milioni 5.
Tunaenda kwa muhindi tunakodi range rover kisha tunamtuma mwamba mmoja apige pamba aende nayo amlie mingo ndani ya wiki tu tunampata alaf tunamgwajima tena hatueki YouTube tunatupia insta
Hamna wahuni tunataka tumkomeshe ngoja,mpaka aje aombe msahama kwenye press kama wema akiri kuwa ulikua ni utoto tumsameheni bure huyu ndiyo demu wake wa kwanza ndiyomaana ana mchecheto sana.
Hapo vip!!