Nicodemas Maganga, Mbunge wa Mbogwe ataka Kisukuma kiwe Lugha ya Biashara Tanzania

Ni kama utani utani hivi. Lakini ndiyo tunalegeza hivyo taratibu. Siku nyingine atasimama na kusema pawepo na nchi ya kisukuma katika muungano wa Tanzania au muungano atakaopenda yeye kuuona!

Na haya yanasemwa Bungeni, mahala ambapo ni sehemu muhimu ya kufanya kazi za wananchi.

Anyway, ngoja nimsome vizuri sura yake nisije nikaisahau. Sijui jina anaitwa nani huyu mheshimiwa? Aaahaa. Nicodemas Maganga! SAWA.
 
Akili hana hata moja huyu mbunge....nawaonea huruma waliompigia kura [emoji23][emoji23][emoji23]
 

To be sincere Kisukuma ni very primitive vernacular. Mtu anapoongea lazima atumie maguvu. Hapana
 
Tanzania Tuna Mizigo Mingi Sana, Mnaona Wenyewe
 
Duh!hawa wasukuma kumbe walikua serious!nyerere aliona mbali sana aisee
 
Matumizi mabaya ya rasilimali zifuatazo:
1. Muda
2. Ubongo
3. Ulimi
 
Akili zilikuwa zimeenda kuzurura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…