Mkuu, hapa mapinduzi lazima tu yalikuwa na mikono ya walafi na wahuni wa Western Europe kama ilivyotokea kwa Ukraine mpaka Crimea ikaenda Russia.
Nashangaa anamuita mjamaa kindakindaki.
Alijijengea bonge la hekalu huku watu wake wanakufa kwa umasikini.
Aliyoyapata yalimfaa maana nae aliua wengi.
Ukidhulumu uhai wa watu nawe mwisho Wako unakuwa mbaya vile vile.
Kama ambavyo vikosi vya majeshi ya Marekani na washirika wake walivyoua raia wasio na hatia huko Iraq na Afghanistan.Aliyoyapata yalimfaa maana nae aliua wengi.
Ukidhulumu uhai wa watu nawe mwisho Wako unakuwa mbaya vile vile.
Pia kama ambavyo vikosi vya majeshi ya Marekani na washirika wake walivyoua raia wasio na hatia huko Iraq na Afghanistan...kama Gaddafi.
Mkuu, yaaani unaandika kana kwamba haujui hila za nchi za magharibi na washirika wao?..halafu yakiwakuta mashabiki wao wanasingizia nchi za magharibi.
Elena Ceaușescu...mke wa ceausescu?
Pia kama ambavyo vikosi vya majeshi ya Marekani na washirika wake walivyoua raia wasio na hatia huko Iraq na Afghanistan.
..ndio maana Marekani ikawa inamtumia Osama Bin Laden na kundi lake la vijana wa Mujahideen?..kabla ya hapo Waafghanistan walikuwa wakiuwawa na askari wa Soviet Union.
The KGB, NATO and Post-Independence Africa (1960s-1980s): Vita Mpya vya Maslahi ya Wazungu (USSR-USA-EU) ndani ya bara la Afrika punde baada ya uhuru...au vita vya Angola ambapo Mpla ilikuwa ikiungwa mkono na Soviet Union, wakati Unita iliungwa mkono na United States.
Kuna baadhi ya matatizo wao ndio huwa wanayatengeneza ili kuandaa mazingira ya kuwaingia watu "psychologically"..lazima kuwe na tatizo la ndani ktk nchi husika, na hao western au eastern powers wao wanachangamkia fursa tu.
..ndio maana Marekani ikawa inamtumia Osama Bin Laden na kundi lake la vijana wa Mujahideen?
..kabla ya hapo Marekani imeua raia wengi sana wasio na hatia huko Vietnam (Nam). Mlolongo ni mrefu sana nadhani tukijikita katika kuorodhesha matukio ya kidhalimu ya Western Bloc tutakesha hapa mkuu.
Mkuu, unajua hapa unazungumzia Post-independence Africa. Afrika punde baada ya uhuru wa bendera...kwa mfano, Mpla alikuwa ana-finance vita kwa kutumia fedha za mafuta. Lakini mafuta yalikuwa yanachimbwa na Exxon Mobil ya Marekani. Na visima vya mafuta vilikuwa vinalindwa na askari toka Cuba. Halafu silaha zinanunuliwa toka Soviet Union. Umeona mkorogo huo?
Ushamba wake ulikuwa nini sasa?Halafu kiukweli mama alikuwa mshamba sana tu.
Mama nani?Halafu kiukweli mama alikuwa mshamba sana tu.
Mke wake Ceausescu.Mama nani?
Ukiwa dikteta jua nawe mwisho lazima ilambe kisu. Haijalishi ni nani atakulambisha mchanga.ukiishi kwa kuua raia Wako jua siku adui akija raia watajiunga nae. Ishi na raia Wako vzr spe Uhuru wajione nao ni wenye nchi. Ndo maana Nyerere alivyotangaza tumtoe nduli watu wengi walijitolea kwenda vitani...ndio maana Marekani ikawa inamtumia Osama Bin Laden na kundi lake la vijana wa Mujahideen?
..kabla ya hapo Marekani imeua raia wengi sana wasio na hatia huko Vietnam (Nam). Mlolongo ni mrefu sana nadhani tukijikita katika kuorodhesha matukio ya kidhalimu ya Western Bloc tutakesha hapa mkuu.
Kama Idd Amin na Mobutu...Ukiwa dikteta jua nawe mwisho lazima ilambe kisu.