Nicolae Ceauşescu: Swahiba wa Julius Nyerere, Rais wa Romania na mjamaa kindakindaki aliyeuawa kifo cha kumiminiwa risasi na wanajeshi (Firing Squad)

Nicolae Ceauşescu: Swahiba wa Julius Nyerere, Rais wa Romania na mjamaa kindakindaki aliyeuawa kifo cha kumiminiwa risasi na wanajeshi (Firing Squad)

Mkuu, hapa mapinduzi lazima tu yalikuwa na mikono ya walafi na wahuni wa Western Europe kama ilivyotokea kwa Ukraine mpaka Crimea ikaenda Russia.

..hapo ni kutafuta wachawi tu.

..hila za western powers haziwezi kufanikiwa kama kiongozi anayelengwa ameweka mambo yake sawa, na yuko karibu na wananchi.
 
Pia kama ambavyo vikosi vya majeshi ya Marekani na washirika wake walivyoua raia wasio na hatia huko Iraq na Afghanistan.

..kabla ya hapo Waafghanistan walikuwa wakiuwawa na askari wa Soviet Union.

..au vita vya Angola ambapo Mpla ilikuwa ikiungwa mkono na Soviet Union, wakati Unita iliungwa mkono na United States.

..lazima kuwe na tatizo la ndani ktk nchi husika, na hao western au eastern powers wao wanachangamkia fursa tu.

..kwa mfano, Mpla alikuwa ana-finance vita kwa kutumia fedha za mafuta. Lakini mafuta yalikuwa yanachimbwa na Exxon Mobil ya Marekani. Na visima vya mafuta vilikuwa vinalindwa na askari toka Cuba. Halafu silaha zinanunuliwa toka Soviet Union. Umeona mkorogo huo?
 
..kabla ya hapo Waafghanistan walikuwa wakiuwawa na askari wa Soviet Union.
..ndio maana Marekani ikawa inamtumia Osama Bin Laden na kundi lake la vijana wa Mujahideen?

..kabla ya hapo Marekani imeua raia wengi sana wasio na hatia huko Vietnam (Nam). Mlolongo ni mrefu sana nadhani tukijikita katika kuorodhesha matukio ya kidhalimu ya Western Bloc tutakesha hapa mkuu.
 
..lazima kuwe na tatizo la ndani ktk nchi husika, na hao western au eastern powers wao wanachangamkia fursa tu.
Kuna baadhi ya matatizo wao ndio huwa wanayatengeneza ili kuandaa mazingira ya kuwaingia watu "psychologically"

Kuna siku miaka kadhaa nyuma niliwahi kupigia sana kelele juu ya wimbo mmoja unaitwa TUPO BONGO BAHATI MBAYA.

Mkuu, kwani "Psychological Warfare" wewe huijui?
 
..ndio maana Marekani ikawa inamtumia Osama Bin Laden na kundi lake la vijana wa Mujahideen?

..kabla ya hapo Marekani imeua raia wengi sana wasio na hatia huko Vietnam (Nam). Mlolongo ni mrefu sana nadhani tukijikita katika kuorodhesha matukio ya kidhalimu ya Western Bloc tutakesha hapa mkuu.

..alikuwa akishirikiana na jamaa wa South Vietnam.
 
..kwa mfano, Mpla alikuwa ana-finance vita kwa kutumia fedha za mafuta. Lakini mafuta yalikuwa yanachimbwa na Exxon Mobil ya Marekani. Na visima vya mafuta vilikuwa vinalindwa na askari toka Cuba. Halafu silaha zinanunuliwa toka Soviet Union. Umeona mkorogo huo?
Mkuu, unajua hapa unazungumzia Post-independence Africa. Afrika punde baada ya uhuru wa bendera.

Afrika iliyokwishanyonywa vya kutosha na kubaki mifupa mitupu. Afrika iliyokuwa imejaa makovu ya vidonda vya ukoloni ikiandamwa na mabalaa ya njaa, magonjwa na umasikini wa kutupwa.

Matatizo ambayo wazungu wenyewe ndio walituletea. Unaona sasa tunarudi tena pale pale kwamba matatizo mengi ya ndani huanzishwa na Western Powers wenyewe ndio hizo ambazo wewe unaziita kuwa ni fursa kwao.
 
..ndio maana Marekani ikawa inamtumia Osama Bin Laden na kundi lake la vijana wa Mujahideen?

..kabla ya hapo Marekani imeua raia wengi sana wasio na hatia huko Vietnam (Nam). Mlolongo ni mrefu sana nadhani tukijikita katika kuorodhesha matukio ya kidhalimu ya Western Bloc tutakesha hapa mkuu.
Ukiwa dikteta jua nawe mwisho lazima ilambe kisu. Haijalishi ni nani atakulambisha mchanga.ukiishi kwa kuua raia Wako jua siku adui akija raia watajiunga nae. Ishi na raia Wako vzr spe Uhuru wajione nao ni wenye nchi. Ndo maana Nyerere alivyotangaza tumtoe nduli watu wengi walijitolea kwenda vitani.

Sasa hawa madiketa wote waliishi na wanaishi kwa kuua watu. Hata sisi tuliua waganda wasio na hatia wengi wakati tunamtoa Nduli....

Warrusia wa marekani na Western wajerumani waarabu wote wauaji then same na sisi huku tunaouana wenyewe kwa wenyewe.

But ukichagua u dikteta jua mwisho Wako utakuwa mbaya na raia watamshangilia atakayekuja kukutoa hata kama Atakayekutoa ni SHETANI
 
Back
Top Bottom