Nicole Joy Berry mrembo aliyejulikana kwa kilimo cha vitunguu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za utapeli

Nicole Joy Berry mrembo aliyejulikana kwa kilimo cha vitunguu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za utapeli

Wadada wanachukua pesa kwa mataco feki hii haikubali hata kidogo 🤔
Dada Alikuwa mzuri huyu
Portable Fulani
Sijui nani alimdanganya akaenda kufanya huu upuuzi wa kutengeneza mwili matokeo yake kaharibika

Haya na ndugu zake hawataki ht kumsikia baada ya kujiharibu
 
Watanzania sio wa kuwaonea huruma. Haya majanga huwa wanayataka.
Ponze scheme zote zinaishia kwenye haya ila bado kesho wengine wataenda kumchangia mwizi mwingine mamilioni.
Yale makalio chakula cha bwana jela
Mimi siku zote nasema Nina wasiwasi mkubwa sana na ule mwenge unaopitishwa mtaani..utakua na UCHAWI MKALI SANA WA KUWAPUMBAZA ASILIMIA KUBWA YA WATANZANIA..
 
Itakua wapopo wamemfundisha hayo mambo maana kutwa Nigeria
 
Unamkumbuka yule kiboko wa wachawi aliyekimbilia Congo baada ya kutapeli watu, kuna wamama watu wazima kanisani kwake huko walikuwa wanamtetea kuwa sio tapeli 😂 hapo n kabla jamaa hajaanza kurusha video zake za kuwaita watz n wapumbavu 😂
Kuna watu ukiwatafakari kwa haraka haraka unajua kabisa akili hakuna kabisaa
 
Back
Top Bottom