Nicole Joy Berry mrembo aliyejulikana kwa kilimo cha vitunguu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za utapeli

Nicole Joy Berry mrembo aliyejulikana kwa kilimo cha vitunguu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za utapeli

Vitunguu havilipi tena?
Kama vitunguu hivi havilipi wewe unahitaji kupandikizwa Muhimbili.
1741186350217.jpeg
 
Mitanzania ni mijinga acha ipunwe tu,,,, ! Mtu anakuja huko anasema nichangie na kuna machizi yanatuma hela,,,,acha huyu Nicole, kuna mpuuzi mmoja alikua anajiita sijui niffa ikitokea msiba au janga la kitaifa anaweka namba kuna mburukenge zinatuma hela, pia kuna ajuza wa wasafi diva,,,nae ni michezo yake!
 
Watu wamepigwa pesa ndefu sana na "Nicole" huko instagram ,kuna wengine hadi 40mils...Kwa haraka hara hao watu 20 wanamdai zaidi ya 200m.

hii nchi kuna sehemu tunakwama, haiwezekani watu ambao wanaonekanwa ndio wajanja wanaoshika hela na kuwa na mizunguko ya hela wananyooshwa kiwepesi kama hivyo, je wale wanzangu na mie wao inakuaje?
 
Back
Top Bottom