Nicole Joy Berry mrembo aliyejulikana kwa kilimo cha vitunguu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za utapeli

Nicole Joy Berry mrembo aliyejulikana kwa kilimo cha vitunguu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za utapeli

Upuuzi huo ,kajiharibu
Alikuwa mrembo
Kachafua mwili na matatoo Bado kaongeza makalio kasahau mapaja na miguu kawa kituko
Bila kuwa na mtambo wa punda kitumbua cha buku utakula kwa macho! kwa tackle hili, lazima amiliki gari la kusomba kimba.
 
Kumbe Nicole berry ni mpare
Ni atakuwa mpare mchanganyiko mama yake huenda atakuwa mchaga

Sijawahi ona mpare ambaye baba mpare na mama mpare akawa mwizi au tapeli

Huyo sio mpare pure atakuwa kachanganya damu.Mama yake aulizwe
 
Wakuu,

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limemkamata Joyce Mbaga maarufu kwa jina la Nicole Joyberry kwa tuhuma za kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu na kufanya biashara ya kuanzisha ma-group na kukusanya pesa kinyume na sheria.

Soma pia: Nicole Berry, mwanadada anayepiga mamilioni kwenye kilimo cha vitunguu Iringa

Taarifa hiyo imetolewa leo na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Jumanne Muliro na kusema matukio hayo yametokea katika maeneo tofauti tofauti ya Jiji la Dar es Salaam na wakati mwingine nje ya mkoa wa Dar es Salaam.


"Matukio haya yametokea ndani na nje ya Dar es Salaam, kwa kuhamasisha baadhi ya watu akianzisha ma-group mbalimbali na kuweka majina hewa kwenye ma-grouup hayo kwamba wanachangia pesa na baada ya muda mfupi basi utapata kiwango kikubwa cha pesa, jambo ambalo baadaye anakuja kutopatikana kwenye simu na kupotea na pesa ambazo watu wamechangia," amesema Kamanda Muliro

Na makalio yake nayo yalikuwa biashara nyingine😀
 
Huyo mwenye manundu nyuma ndo mlima vitunguu? Aisee nchi inapitia wakati mgumu hii
Manundu kama vitunguu vyenyewe
1741321110252.jpg
 
Back
Top Bottom