Hio yako nicase tofaut kabisa hapo kunamambo yakuapa mahakamanWiki ya 5 sasa nasubiria kadi, jina lilikosewa. Wewe ambae kila kitu kimefutika sijui utasubiri kwa mda gani.
Uamuzi ni wako unaweza hata kukitupa uishi modern life. Huu ni ushauri tumempa ili asije kupoteza muda tena.Ni sawa na kuchimbia pesa chini tu, CCM inatufanya tunaishi maisha ya kijima sana.
Vile vya awamu ya kwanza miaka ya 2013 chini ya Maimu ndio Og kabisa changu kipo na maandishi yote hadi leo,hivi vilivyofuata ni takataka ulaji wa wakina Bashite na genge lake.Technology ipi imetumika kutengeneza hii kitu wizi mtupu
Shida ubora wake? Hata mtu akiiona anajua tu umefoji, na ukiotewa mziki wake si mchezo. Kugushi nyaraka ya serikali unapigwa case ya money laundering 😀😀😀😀😀😀😀.Uwii kwahiyo nikienda popote napata?
Sie wakongwe tuliotengeneza kitambo viko vyema sana kabla yamatapeliHivi vitambulisho vina ubora duni sana.
Wanasema eti aliyepewa tenda alitumia material ya kiwango Cha chini. Kama vile hakuna TBS😀😀Vile vya awamu ya kwanza miaka ya 2013 chini ya Maimu ndio Og kabisa changu kipo na maandishi yote hadi leo,hivi vilivyofuata ni takataka ulaji wa wakina Bashite na genge lake.
Lazima uanze upya kwanza, na hapo kuna process nyingi zaidi, kuna kwenda mahakamani kuapa, kuna kutangaza kwenye gazeti...mpaka upate ID nyingine shughuli ipoMbona huo utaratibu mpya Sasa! NIDA nilipewa na imefutika na number yake ninayo je naanzaje kujisajiri upya?
Inategemea na matumizi tu, kwa mfumo waliouweka wacha tu watu wajitafutie mitaani kikubwa namba iwepo basi!Shida ubora wake? Hata mtu akiiona anajua tu umefoji, na ukiotewa mziki wake si mchezo. Kugushi nyaraka ya serikali unapigwa case ya money laundering 😀😀😀😀😀😀😀.
Ni vile tu polisi hawajaanza kuisanukia hiyo issue. Huwezi amini almost 1/4 ya watu wenye card za NIDA wameprint mtaani kutokana na ugumu wa kupata original ID.
Huu utakua ufala yan nisawa mtu anaetaka kurenew line yake yasimu aanze upya kujaza majina yake kama anasajil upya huoni kama atapata namba tofaut zanidaMkuu ngoja Nikupe Utaratibu.
1.Piga picha ya Passport size.
ngia Online Tovuti ya Polisi Omba Lost Report,
Utalipia 1000,
Print Lost Report yako.
2.Chukua Vyeti vyako vyote, Kuzaliwa, shule, vipaimala, ubatizo Msikitini nk.
3. Nenda Offisi za Selikali ya mtaa ukaanze Upya.
NARUDIA NENDA SELIKALI ZA MITAA UKAANZE UPYAAAAA.
4. Ukitoka selikali za Mitaa Utaenda offisi za NIDA mimi nilienda Manispaa ya Ubungo
Kwa Mtu ambaye yupo Serius wakuu
Ambaye anaweza kutusaidia Kupata hivi vitambulisho kwa Haraka Tunaomba msaada.
Jamii Forum Ina watu wengi sana wa maana.
Asanteni s
Umenena vyema kiongozi! Kuna watu wengi sana wenye changamoto ya NIDA mtu ana number ila card hana.Kwa Mtu ambaye yupo Serius wakuu
Ambaye anaweza kutusaidia Kupata hivi vitambulisho kwa Haraka Tunaomba msaada.
Jamii Forum Ina watu wengi sana wa maana.
Asanteni sana
Huo utaratibu Sio poa. Hata procedures za kupata passport iliyopetea haziko hivo.Lazima uanze upya kwanza, na hapo kuna process nyingi zaidi, kuna kwenda mahakamani kuapa, kuna kutangaza kwenye gazeti...mpaka upate ID nyingine shughuli ipo
Nipo serikalini ndipo nikaelewa kwanini kuna kijana wa kinyamwezi (such a competent man) alikuwa anakataa kuajiriwa mamlaka za nchi. The guy amebaki kuwa consultant na anafanya na mataasisi ya kigeni.Mnashangaa NIDA? Ukitaka ku renew passport unaanza upya utafikiri data zako huwa wanazi delete kwenye system. Miaka na miaka tunauliza kwanini unaanza kujaza form upya unajaza vitu vile vile ambavyo vipo kwenye database ya uhamiaji na NIDA?
Na wanakuwa na biometric details zako na picha yako kwenye mfumo. Sema ni vile tu kusumbua watu, mbona wakitaka kufuatilia lini ulisafiri wanajua kwenye mifumo yao? Nadhani sekta za umma zinahitaji sana maboresho ili kufupisha muda wa kupata huduma.Mnashangaa NIDA? Ukitaka ku renew passport unaanza upya utafikiri data zako huwa wanazi delete kwenye system. Miaka na miaka tunauliza kwanini unaanza kujaza form upya unajaza vitu vile vile ambavyo vipo kwenye database ya uhamiaji na NIDA?