Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Hapo juzi tuSikushangai me mwenyewe tangu ramadhani iishe sijavua wala kuvuliwa π₯Ίπ₯Ί
πππila humuNilitaka nije mwanza kesho
Tule wote pasaka,nimeghairi,utanikimbia!
Uwanja wa faraja!πππila humu
Kabisa πUwanja wa faraja!
Karibu Dodoma Binti Sayuni03,Tuimbe Hosana Binti sayuni!Kabisa π
Ya tatu Uongo
Yeye ndie kakupenda,uongo unakuwaje unausemea moyo wake?!Ya tatu Uongo
Huko kwenye ukame baki mwenyewe π πKaribu Dodoma Binti Sayuni03,Tuimbe Hosana Binti sayuni!
Namba moja ni uongo π
Acha nimkimbie chap kwa haraka π πHuyo mtarajiwa wako atakuumiza vibayaπππ
Si unaona hapo tumepangwa wasichama watatu πYeye ndie kakupenda,uongo unakuwaje unausemea moyo wake?!
Alright!Naanza:
Namuita
- Nimepanda ndege kwa mara ya kwanza.
- Nimeonja pombe kali kwa mara ya kwanza.
- Nimeumizwa na mwanaume ila bado sijafikia hatua ya kuwaita mbwa.
Binti Sayuni03 , Nomadix , mzabzab , makutupora na mtarajiwa wangu secretarybird
Njoo tucheze, acha kuwa siliazi sanaUtoto ni raha sana .
Siliazi ndio nini? Si umesema nikudanganye?Njoo tucheze, acha kuwa siliazi sana
Asante sana dada, na mimi mwenyewe ni mrefu, mwenye weusi wa kuteleza πUna mkono mzuri sana wenye vidole virefu na chokleti kala
siliazi ni serious kwa kizungu.Siliazi ndio nini? Si umesema nikudanganye?
Sawa basi , naweka kichwa tu πsiliazi ni serious kwa kizungu.
Ndiyo, njoo tucheze mchezo wa uongo na ukweli
Kuweka kichwa tu ni uongo, mdada kabla hujakaa vizuri utaikuta yote inanga'ganizwa kuzama ndani π π πSawa basi naweka kichwa tu π