Root root AE
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 207
- 354
- Thread starter
-
- #101
Achana naye huyo...nishamjua ni mtu wa aina ganiimbona unakua kama demu jamaa .. kwani kama hujawahi kwenda south inakulazimu vipi kuleta kejeli .. mtu kaomba tu ushauri kama huna si ukae kimya kuliko kuleta ujuaji wa kulazimishana mambo .. kwani lazima wote tuishi bongo .. JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala
Hiko sio kisa, huo ni umama, kisa toa chako wewe, kuja hapa kusema mshkaji wako ana HIV mara teja, hayatuhusu. Wewe eleze ni mji gani una fursa nyingi kulinganisha na aliyoitaja yy na zaidi unaweza mtajia mji mwingine tofauti na anayoihitaji yy kama nyongeza.Mimi nimempa kisa ili ajifunze kitu! Pia unatakiwa ujue kuwa visa vya vijana kuishia kwenye Poda na Kupata UKIMWI Sauzi ni vingi. Pia jifunze kuwa muungwana acha matusi.
Hivi mbona unateseka sana wakati tunaoenda ni sisi!!!Hili nalo bwabwa daah jamii sasa hivi mabwabwa yamejaa,naona mnataka kwenda kutafuta mabwana wapya,ok kazi kwenu maana kule wamejaa wengi kama nyie,tanzania hatutaki mabwabwa naona mnakimbilia South,eti nawe umekaa bondeni hadithi za masikani zinawachanganya vitoto vya sasa hiv
Hiko sio kisa, huo ni umama, kisa toa chako wewe, kuja hapa kusema mshkaji wako ana HIV mara teja, hayatuhusu. Wewe eleze ni mji gani una fursa nyingi kulinganisha na aliyoitaja yy na zaidi unaweza mtajia mji mwingine tofauti na anayoihitaji yy kama nyongeza.
Acha umama.
Ok big up🤛Hivi mbona unateseka sana wakati tunaoenda ni sisi!!!
Hiyo khaa mbona kama pungaKumanisha nini labda?? Khaaa!!!
Stop procrastinating man.If you say so man!!
Wewe Ni jinsia gani ?Samahani tuanzie hapoHapa hapa kwa nyerere,ya nini niende ulaya,sijui hata misele ya huko,kuishi kama dikidiki kwenye msitu wa simba mimi siwezi, zamani palikuwa panaishu huko sio sasa hivi binadamu wametengeneza roho mbaya,nisije bure nikatolewa bandana na Figo yangu,ugali wa mlenda na daga wa mwanza nitawapati wapi nikienda huko,daah eti nikabebe maboks,mara town kuuza vinywaji kwenye magari mmhhh nani anataka maisha ya kiwaki hivyoo,naseti mipango na toboa hapa hapa bongo,mbona wazazi wangu wamenilea vinzuri bila ya kwenda South??hauna ndugu wala jamaa sindo unaenda kuwa bwabwa 🤭🤭🤭
OkayOk big up🤛
Usijali mkuu....kama ikiwezekana sawa kama isipowezekana sio mbaya...Mungu ndiye mpangaji wa riziki...ni suala la muda tuDaaaa ttz wabingo c waaminifuu ukishapewa dili uko south amkawii kuharibuu,ningekuunganisha na mwanangu mmoja yupo south anafanyaa dili la kuuza magazeti Yale yalishasomwa anayafata kiwandan na kuyaleta mpkn mwa nchi zilizopakana na south nakuyauzaa kwa jumla ....
Procrastinating!???Stop procrastinating man.
"Crime does not pay"...yah...alisema Lucky Dube piaa....na hai apply kwa south africa tu hata wewe uliyeamua kutafutia riziki Tanzania pekee inakuhusu....Halafu nilisahau kumwita [mention]Isanga family [/mention] afadhali umejitokeza kutoa muongozo Ndagha mwalafyale, Ndagha sana nadhani mwamba amepata muongozo mzuri nakazia uhalifu haulipi
Aha wazo zuri mkuu...ntalifanyia utafiti nikifikaPretoria mishe za maisha zipo Jacob marley Sunside na mitaa ya Brown huko hilo Jiji kwa sasa hivi nadhani ndio jiji gumu kutafuta hela kuliko hayo mengine kutokana na mzunguko wa pesa upo chini harafu kodi ya nyumba haishuki na polisi wanawajua wageni karibu wengi mishe zao wao ni kwenda kuchukua hela kila wanapojisikia na wengi wanafanya kazi za kunyoa saloon zinazomilikiwa na Watanzania na Waghana...na pia wengine wanapewa Pick up kwa kupeleka hela kila wiki nayo hii mpaka uwe unaujua mji na pia usalama wa kuibiwa hiyo gari upo nje nje wakati wowote wanaichukua wezi..hii ishu ya kuendesha magari hata Jozi ipo pia...wengi waliopo hasa Jozi ni kuwa wao wanatafuta machimbo ya vitu bei rahisi harafu anatuma Tanzania kwa matruck ya Watanzania wakimuuzia anatumiwa hela hii nayo inataka uwe na mtu kweli huko daslm...maana vitu vya bei nzuri vingi vipo Dragon,China City,China Mall,Macro,Cash and Carry na kwingineko ni wewe kuumiza kichwa kisilale hii kazi inataka uwe na mtaji hata wa 2m hivi kila Truck ikiondoka inakua na mzigo wako wowote...
konda msafiCC:Shibe Kijijini
Toa Muongozo Haraka
Tuma salamu kwa watu watatu.Procrastinating!???
So what!!? You want me to...like teleport there or something!??
Look usinipangie bro,I know my strategies....kama huna details kuhusu majiji niliyoyataja kaa kimya au pitaa hivi....it's as simple as that