Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Ndugu wa mume wamefika 😂😂😂
 
Kwakweli [emoji2][emoji2].. Hivi inakuwaga aje mpaka watu wanajua Kama mnadate, au Mimi ndo mshamba wa mapenzi??. Maana naona kinachoumizaga ni Ile aibu watu wanatuonaje na vitu Kama hivyo [emoji848][emoji848]
Na ukichunguza Mahusiano mengi ya humu...

KE ndiyo wanakuwaga na kimbelembele cha kuyaweka wazi...

Sijui wanajiaminigi nini...Wasidate kimya kimya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…