Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Nilivyokuwa nampenda The Bold aisee, na hata yeye anajua. Sema sa hivi kesha zeeka!

Sifa ya mwanamke ni Moja tu mtii na kumuheshimu mwanaume! Niffer ukajikuta unampenda, pole sana kwa kuumizwa shwaaaah
Hakuna asiyezeeka mwaya.

Wala sijaumizwa, haya ni mambo ya kawaida wala hayashangazi.
 
Wewe? Mbona umeniongelea kama unanijua?
Nimeogopaaaa!

Ndio hivyo mwaya, harakati za kumpata Prince Charming sio rahisi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Muhimu nimeshampata ndio kitu nashukuru.
 
"Eti"๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃau mzee macho juu juu weye?
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃmacho juu juu ni wale wanaotongoza kila Tom n' Jerry anayepita machoni! Huyu mzee wa hovyo hana tabia ya kutongoza hovyo huko kwa waziri mkuu.
 
Kama hamjaoana ni haki kutambulika kama single, na ndivyo inavyopaswa kuwa.

Amini unavyotaka wewe Mkuu, hakuna ubaya.
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃmacho juu juu ni wale wanaotongoza kila Tom n' Jerry anayepita machoni! Huyu mzee wa hovyo hana tabia ya kutongoza hovyo huko kwa waziri mkuu.
Umeamua vyema mzee! watoto wasije wakakuanika hapa hadharani maana Hawa watoto wa siku hizi wamepinda sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ