Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Nilivyokuwa nampenda The Bold aisee, na hata yeye anajua. Sema sa hivi kesha zeeka!

Sifa ya mwanamke ni Moja tu mtii na kumuheshimu mwanaume! Niffer ukajikuta unampenda, pole sana kwa kuumizwa shwaaaah
Hakuna asiyezeeka mwaya.

Wala sijaumizwa, haya ni mambo ya kawaida wala hayashangazi.
 
I'm happy for you Nifah

Ulichelewa kwenye harakati za kupishana na vyura ili ukikutana na Prince Charming wako um-appreciate haswa!!!😁

Linapokuja swala la kufanana na kutofautiana ofcourse lazima kuwe na balance. Mnaweza mkafanana sana ikawa tabu maana hamna wakumwambia mwenze "Hey...hapo sio!"
Obviously kuna vitu ambavyo ni fundamental kwa kila mmoja wetu as individuals, na mkitofautiana kunakua na mvutano mkubwa sana. Hivi hapana, maana ndio chanzo cha mafarakano kwenye mahusiano mengi.

Hampaswi kuwa polar opposite of eachother, ila kuna namna mnaweza kutofautiana kwenye baadhi ya mambo kila mmoja akam-compliment wenzie like perfect pieces of a puzzle. So, mi nasemaga, the most important thing is to find your match. Iwe mtatokea kufanana au kutofautiana, it won't matter, as long as she/he is the right person for you.
Wewe? Mbona umeniongelea kama unanijua?
Nimeogopaaaa!

Ndio hivyo mwaya, harakati za kumpata Prince Charming sio rahisi 🤣🤣
Muhimu nimeshampata ndio kitu nashukuru.
 
Mmeachana Kitambo tu Miss Nifah, Nilijua baada ya jamaa yangu mmoja kuwa anampost mtoto wako status nikamuuliza unamjua baba wa huyo mtoto akajibu hapaana anamjua mama yake (wewe) ambaye ni marafiki, Nikamuuliza unamjua bwana wake akasema Hapana, Anajua upo single
Kama hamjaoana ni haki kutambulika kama single, na ndivyo inavyopaswa kuwa.

Amini unavyotaka wewe Mkuu, hakuna ubaya.
 
🤣🤣macho juu juu ni wale wanaotongoza kila Tom n' Jerry anayepita machoni! Huyu mzee wa hovyo hana tabia ya kutongoza hovyo huko kwa waziri mkuu.
Umeamua vyema mzee! watoto wasije wakakuanika hapa hadharani maana Hawa watoto wa siku hizi wamepinda sana!
 
Back
Top Bottom