ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Huo ndio uungwana, amekuwa mwoga kuwa mzee wa hovyo ana kamcheps kake hahaha😀😀😀Binti kapata Uoga,ninaheshimu hisia zake....sio Kila Mtu ana roho ngumu..nimemuomba radhi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndio uungwana, amekuwa mwoga kuwa mzee wa hovyo ana kamcheps kake hahaha😀😀😀Binti kapata Uoga,ninaheshimu hisia zake....sio Kila Mtu ana roho ngumu..nimemuomba radhi.
"Eti"🤣🤣🤣🤣au mzee macho juu juu weye?Huo ndio uungwana, amekuwa mwoga kuwa mzee wa hovyo ana kamcheps kake hahaha😀😀😀
Hakuna asiyezeeka mwaya.Nilivyokuwa nampenda The Bold aisee, na hata yeye anajua. Sema sa hivi kesha zeeka!
Sifa ya mwanamke ni Moja tu mtii na kumuheshimu mwanaume! Niffer ukajikuta unampenda, pole sana kwa kuumizwa shwaaaah
Wewe? Mbona umeniongelea kama unanijua?I'm happy for you Nifah
Ulichelewa kwenye harakati za kupishana na vyura ili ukikutana na Prince Charming wako um-appreciate haswa!!!😁
Linapokuja swala la kufanana na kutofautiana ofcourse lazima kuwe na balance. Mnaweza mkafanana sana ikawa tabu maana hamna wakumwambia mwenze "Hey...hapo sio!"
Obviously kuna vitu ambavyo ni fundamental kwa kila mmoja wetu as individuals, na mkitofautiana kunakua na mvutano mkubwa sana. Hivi hapana, maana ndio chanzo cha mafarakano kwenye mahusiano mengi.
Hampaswi kuwa polar opposite of eachother, ila kuna namna mnaweza kutofautiana kwenye baadhi ya mambo kila mmoja akam-compliment wenzie like perfect pieces of a puzzle. So, mi nasemaga, the most important thing is to find your match. Iwe mtatokea kufanana au kutofautiana, it won't matter, as long as she/he is the right person for you.
🤣🤣macho juu juu ni wale wanaotongoza kila Tom n' Jerry anayepita machoni! Huyu mzee wa hovyo hana tabia ya kutongoza hovyo huko kwa waziri mkuu."Eti"🤣🤣🤣🤣au mzee macho juu juu weye?
Kama hamjaoana ni haki kutambulika kama single, na ndivyo inavyopaswa kuwa.Mmeachana Kitambo tu Miss Nifah, Nilijua baada ya jamaa yangu mmoja kuwa anampost mtoto wako status nikamuuliza unamjua baba wa huyo mtoto akajibu hapaana anamjua mama yake (wewe) ambaye ni marafiki, Nikamuuliza unamjua bwana wake akasema Hapana, Anajua upo single
Uko sharp kutoa nafasi. I wish you Good luckSijawahi, na haikuwa hivyo.
Baada ya kuachana na kupona ndipo nilipompa nafasi mwingine.
Hujui tu Wanaume tukiwa tumekosa ile huduma vile tunakuwa na hasira za mara kwa mara 🙈🏃♂️🏃♂️🏃♂️Lakini babu mbona tumefungwa wengi? Kawaida tu.
Mmh hapa mi mgeni🏃🙄😂Mtumishi, walisema eti bila kumumunya pipi kazi haiwezi endelea🤣🤣
Umeamua vyema mzee! watoto wasije wakakuanika hapa hadharani maana Hawa watoto wa siku hizi wamepinda sana!🤣🤣macho juu juu ni wale wanaotongoza kila Tom n' Jerry anayepita machoni! Huyu mzee wa hovyo hana tabia ya kutongoza hovyo huko kwa waziri mkuu.
umeanza! baadae usije kulalamika tena huku.Mimi ndio nimetoka huko sasa, nimempata wa kufanana nae na ananiongoza vyema mnooo!
Nyie mpaka napagawa nilichelewa wapi? 🤣
Fanyeni hima Mjukuu, Babu yenu nimewaandalia mpunga gunia 2 kwaajili ya kula pilau siku hiyo 🤗Hakuna nafasi babu, nilikwambia nitakuletea mkwe… tusubiri twaja.
Huwezi kuwa mgeni bwana, hili jambo si unalizungumziq kila mara Tayana😀😀Mmh hapa mi mgeni🏃🙄😂
Wengine tupo pessimistic sana.Mimi ndio nimetoka huko sasa, nimempata wa kufanana nae na ananiongoza vyema mnooo!
Nyie mpaka napagawa nilichelewa wapi? 🤣