Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Kwanza ujasiri huu wa kuweka mahusiano Yao wazi wanatoaga wapi,Sijawahi kuamini kama ukiwa na mahusiano na mtu ni lazima muonyeshe watu Kuwa mnapendana
Sema mdogo wangu...mje mfundwe na dada zenu
 
Thanks

Siwezi kusema tofauti na nilichokisema hapa, wengi wamenitafuta kwa kila namna ila nimeshikilia msimamo huuhuu.

Mapenzi yakiisha sio vita, ni vyema kuheshimu zile nyakati nzuri na kusonga mbele kwa amani.
Perfect bby
 
Waswahili tunasema ndo ladha ya mapenzi
 
Si ndiyo...

Kuna hilo Husiano moja lilikuwaga humu[emoji1]Enzi hizo Bidada kila sehemu ni kumtaja jamaa...

Jamaa akija ana'like tu.. hajibu wala nini...Ni kama jamaa alikuwa hapendi ile kitu..

Sasa hivi sijui hata lilishiaga wapi[emoji1]
Beshte acha umbea... 🀣 🀣 🀣 siku hizi jukwaani sikuoni naona umeleft..umehamia huku
 
Nimesoma huu uzi..nimeshangaa wadada wa JF wana mambo jamani... 🀣 kati kati ya uzi kuna vichambo vya hatari sio poa...yani vichambo havihusiani na uzi 🀣🀣 ila daaah...nawapa pole wale wote wanaotegemea kupata wake na waume humu...labda kwa neema ya Mungu mtafanikiwa...
 
Mhhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…