Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba mawasiliano ya hivyo vinavyolea watoto wachanga tafadhaliMkuu peleka Msaada wako Kituo Cha Seiiali Kurasini ,huki Intergrity ni 100% v.Vituo vingine ni vile wmaolea Watoto Wachanga....0_6month ..wale watu wanahitaji materials na moral support Si Mchezo!Hivi ni kama vile Msimbazi na Mburahati.
Ah we si una muke wewe tayari au unataka kuongeza?Namjua sana yule mama rafiki mkubwa sana wa mama ake Haji Manara. So unaniambia nikienda kuchumbia pale napata mke?
Mkuu kitu ninachojiuliza hadi sasa hasa kwenu mnaodai kuwa nimeuliza hili kwa nia mbaya ni nini hasa? Nimesema wazi tangu mwanzo na wajumbe wengi wamechangia. Naomba uwe mmoja wa tutakaofuatana kufika katika moja ya kituo ambacho tutaamua kwenda pale tutakapokua tayari. Namba yangu ya simu ni 0755963775 Au kama utapenda badi tuonane kwenye kikao ambapo tutaamua kituo ambacho twende na wewe uwe memberHili tangazo halijanikalia sawa kabisa.
Wanakwenda kulizwa watu. Nahisi huu ni utapeli.
Dkt. Gwajima D
Mkuu simama imara kwenye hoja yako tu basi!Mkuu kitu ninachojiuliza hadi sasa hasa kwenu mnaodai kuwa nimeuliza hili kwa nia mbaya ni nini hasa? Nimesema wazi tangu mwanzo na wajumbe wengi wamechangia. Naomba uwe mmoja wa tutakaofuatana kufika katika moja ya kituo ambacho tutaamua kwenda pale tutakapokua tayari. Namba yangu ya simu ni 0755963775 Au kama utapenda badi tuonane kwenye kikao ambapo tutaamua kituo ambacho twende na wewe uwe member
Bahati mbaya sina..ila n nda Msimbazi centre na Parokia ya Mburahati!Naomba mawasiliano ya hivyo vinavyolea watoto wachanga tafadhali
AahaaaaaAnza na ndugu zako na wanaokuzunguka wenye mahitaji.
Charity begins at home.
Hiki ni kipigo cha muda mrefu, siyo cha papo kwa papo. Sitaki ushahidi wa ushetani wenu.Mkuu kitu ninachojiuliza hadi sasa hasa kwenu mnaodai kuwa nimeuliza hili kwa nia mbaya ni nini hasa? Nimesema wazi tangu mwanzo na wajumbe wengi wamechangia. Naomba uwe mmoja wa tutakaofuatana kufika katika moja ya kituo ambacho tutaamua kwenda pale tutakapokua tayari. Namba yangu ya simu ni 0755963775 Au kama utapenda badi tuonane kwenye kikao ambapo tutaamua kituo ambacho twende na wewe uwe member
✅Mkuu simama imara kwenye hoja yako tu basi!
Ukikazana kupambana na kila hoja inayotolewa humu, mwisho watakutoa kwenye reli.
Nakuletea taarifa mkuu. Wala sio uzushi. Nakuletea PMMjomba hilo lina ukweli kweli au ni uzushi? Anawatesa anawatesaje? Wewe ulishawahi kushuhudia hayo mateso anayowapatia? Tunataka tuzisogeze camera zetu za Siri huko zikamnase emu tupe maelezo yaliyojitosheleza anawafanyaje hao watoto huyo sister wa Mchongo usimuite sister wa kikatoriki maana ma-sister wa kikatoriki wana nyumba zao sio nyumba za watoto yatima
Kuna mdau kaguswa naona ana utayari wa kuvalia njugu.Kwani hicho kituo kina ukuta mrefu kama wa Magereza?
Labda kama ni watoto wadogo sana, lakini kama wameshajitambua, hawawezi kukaa kwenye kituo chenye mateso. Huwa wanatoroka.
Hata hivyo, mateso si jambo jema. Ni vyema kuwaripoti kwenye mamlaka husika watumishi wenye kasumba ya aina hiyo.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏Kuna mdau kaguswa naona ana utayari wa kuvalia njugu.
Huyo sister alisharipotiwa bila mafanikio.
Rudisha avatar picha Yako tuliyokuzoea ya picha cartoon ya SimbaAahaaaaa
You nailed it
Machame juu uko negative sana mkuu!we umejuaje hajaanza kwao,kuwa mpole.Anza na ndugu zako na wanaokuzunguka wenye mahitaji.
Charity begins at home.
Safi kabisa mkuu.Ubarikiwe,
Nakumbuka nilielekezwa Bagamoyo. Nikakutana na kituo cha yatima, yule mama anasema hawa sio yatima ni watu wasio na watu, maana wengine walikimbiwa na wazazi wao hospitali baada ya kujifungua.
Nilinyenyekezwa sana na hizo kauli na hiyo ilikuwa sadaka yangu kwa kusherekea kutimiza miaka flani ya kumiliki jiko.
Wajinga kama hao achana nao ndugu msamaria mwema.Mkuu kitu ninachojiuliza hadi sasa hasa kwenu mnaodai kuwa nimeuliza hili kwa nia mbaya ni nini hasa? Nimesema wazi tangu mwanzo na wajumbe wengi wamechangia. Naomba uwe mmoja wa tutakaofuatana kufika katika moja ya kituo ambacho tutaamua kwenda pale tutakapokua tayari. Namba yangu ya simu ni 0755963775 Au kama utapenda badi tuonane kwenye kikao ambapo tutaamua kituo ambacho twende na wewe uwe member
Huyu jamaa karibu kila mada yuko negative,sijui kichwani yukoje!!Unajuaje kama hajafanya hayo kwa nduguze?
Na hata kama hajafanya, huwezi jua kilichomsukuma kutaka kufanya hayo anayotaka kuyafanya kwa hao watoto yatima!
Ujue, hata watoto yatima na wa "mitaani" nao ni watoto.
Samahani kama nimekukwaza.
Hahaha Asee mkuu unaniandamaga sana😆😆😆👌🏿Machame juu uko negative sana mkuu!we umejuaje hajaanza kwao,kuwa mpole.