FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hilo sifahamu kama ni vyote, lakini vyote havifai kuwepo.Vyote vinauza mpaka watoto kiumalaya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo sifahamu kama ni vyote, lakini vyote havifai kuwepo.Vyote vinauza mpaka watoto kiumalaya?
Hilo ni take la Kisheria Mkuu ,ukiruhusu uholela tu Dunia hii imejaa wahuni.Lazima kuwe na udhibiti kinyume Cha hapo ni shida kubwa !Mkuu, kama kila kituo kingesubiria waanzilishi wake wawe na uwezo kwanza ndipo vianzishwe, kuna VITUO visingeanzishwa kamwe.
Nakifahamu kituo kimoja jijini Mwanza, japo Sasa kina zaidi ya miaka ishirini, lakini kilianza katika mazingira ya hali ya chini sana. Waanzilishi wake ambao walikuwa mume na mke walikianzisha wakiwa hawana karibia kila kitu. Waliianzishia kwenye nyumba waliyopewa kukaa kwa muda. Walikuwa wakikaa na watoto kwenye hiyo hiyo nyumba. Ni yeye na mke wake ndiyo waliokuwa wakifanya kila kitu, mpaka baadaye watu walipoona wanachokifanya wakavutiwa kuanza kuwasaidia.
Kwa sasa ni kituo kikubwa chenye majengo mazuri na wafanyakazi wengi, lakini kilianzia katika hali ya chini sana.
Sasa mkuu huoni utakuwa umemsaidia kuendelea kufanya uharamia wake endapo utamficha? Ukiona su sawa kumfuchua humu, basi uangalie namna nyingine ya kuwasaidia hao watoto wasiendelee kutibiwa.Mkuu elewa maana ya neno wapigaji
Watu wengi waliofunguo hivyo vituo wana maslahi binafsi..
Yupo jamaa mmoja naficha code zake kwa maslahi mapana ya utu na ubinadamu.
Ila anamiliki kituo cha kulelea watoto yatima,,lakini anayoyafanya sisi ndy tunaoyajuwa..
-- pesa za misaada anayopata anafanya maendeleo yake binafsi .mfano,
*Kujenga nyumba zake binafsi,,kununuwa Magari ,,mashamba nk huku walengwa(watoto yatima) wakiambulia patupu.
-- anapewa misaada ya madawa ya hospital lakini anaishia kuuza kwenye pharmacy binafsi na pesa kufanya mambo yake.
-- Kuna wafadhili wanasomesha watoto hewa kwa mgongo wa majina ya watoto yatima.
Mfano:
Mfadhili anahitaji majina ya watoto awasomeshe shule za english medium lakini majina yanayokwenda ni ya wajukuu zake na watoto wa ndugu zake, huku mfadhili anadhani anasomesha watoto yatima kumbe anasomesha watoto ambao wazazi wao wapo na sio yatima.
Tajiri analetewa majina ya watoto ambao sio yatima anasomesha bila kujuwa watoto walengwa ambao ni yatima wanasoma KAYUMBA
-- amekuwa akiuza Michele /sukari/nk ambavyo anapewa kama misaada kwa mgongo wa yatima.
Ninaposema wapigaji namaanisha...
Serikali inapaswa iangalie kwa makini eneo hili la watoto yatima.
Ufanyike uchunguzi kwenye vituo vyote ,,Mfano mmoja wa kituo kimoja kinachofanya hivyo ni kipi? Emu tuwekee location
Madam kuna watoto Wachanga wanaokotwa,waende.wapi...kuna mume.anafiwa na mke wakati wakujifungua ..mtoto anakosa wakumlea ,Hawa nao wanapelekwa.kwenye hivi Vituo !Hilo sifahamu kama ni vyote, lakini vyote havifai kuwepo.
Habari ya wakati huu wakuu. Ninaomba msaada wa taarifa ya kituo chochote cha kulelea watoto yatima ama watoto walio katika mazingira magumu ambacho kiuhalisia kina hali ngumu ya kimahitaji ya kawaida.
Kituo kiwepo Dar es salaam na nitaomba kama utaweza unisaidie mahali hasa kinapopatikana na mawasiliano ya namna ya kufika.
Asante.
Wewe unaogopa nini kutaja?Wahusika wafanye uchunguzi wa kuwahoji watoto vituoni.
Watakutana na mengi wasiyoyajuwa..
Mtoa thread ameomba kituo chha watoto yatima wenye uhitaji hajakwambia anaomba ushauri wa nani ampe msaada.
Tuwe waelewa some times
Dk Gwajima ametoa number yake humu ,Moe taaifa tafadhali .Tuache kulalamika ,chukia Hatua!Ufanyike uchunguzi kwenye vituo vyote ,,
Hicho kituo kipo mkoa wa Daresalaam,,wilayani CODE
Wahusika wafanye uchunguzi..
Kwann afuatwe mmoja wakati wengi ndy wanafanya hayo?Sasa mkuu huoni utakuwa umemsaidia kuendelea kufanya uharamia wake endapo utamficha? Ukiona su sawa kumfuchua humu, basi uangalie namna nyingine ya kuwasaidia hao watoto wasiendelee kutibiwa.
Lakini pia, ingawa ni kweli baadhi ya vituo vinatumika kwa maslahi binafsi vya wamiliki wake, bado vimekuwa na nchango mkubwa katika Jamii, hasa kwa kuwapatia hifadhi watoto waliokataliwa na Jamii.
Nadiriki kusema waliokataliwa kwa sababu kama siyo kukataliwa, wasingekuwa wanakula kwa taabu kupitia kuombaomba au kula majalalani na kulala mabarazani na mitaroni mijini.
Kinachotakiwa jamii iwachukuwe, wasifugwe kama mbuzi kwenye vituo.Madn kina watoto Wachanga wanaokotwa,waende.wapi...kuna mume.anafiwa na mke wakati wakujifungua ..mtoto anakosa wakumlea ,Hawa nao wanapelekwa.kwenye hivi Vituo !
Aidha jina sahihi Kwa Vituo hivi ...Vituo vya Watoto Yatima.na Wanaishi katika Mazingira Hatarishi.
Hata akienda pale hawezi kugunduwa kama wanaosomeshwa english medium sio yatima Bali ni ndugu wa mwenye kituo.Dk Gwajima ametoa number yake humu ,Moe taaifa tafadhali .Tuache kulalamika ,chukia Hatua!
Mkuu kama una kituo cha yatima basi kimbunga kinakuja jiandae.Wewe unaogopa nini kutaja?
Utanifanyaje na hicho kimbunga chako?Mkuu kama una kituo cha yatima basi kimbunga kinakuja jiandae.
Kwa hio mleta mada mpigaji?Kwani kusaidia yatima lazima aende kwenye kituo?
Mtaa wowote aulize kama kuna nyumba ina watoto yatima ataoneshwa.
Huyu mpigaji tu, eti anataka mpaka location.
mpigaji tu huyo.Kwa hio mleta mada mpigaji?
Hakuna aliyekuwa anasema mleta mada mpigaji..Kwa hio mleta mada mpigaji?
Hivi mpaka utu Uzima vituo vya wahitaji wa zee au watoto yatima hunaweza mtu usijue kweli au hata watu wanaokuzunguka hawajui, labda Kama dar mgeni Kama Mimi, mbona kwa sisi waroma tunaendaga Sana kwa wahitaji na kawaida tu, kila kitu Uzi tukisema kujionyesha tutakuwa tumekosea.Mkuu sijafahamu hasa shida ni nini katika huu uzi. Nimeleta uxi kuwakilisha kampuni, naomba utushauri namna njema ya kufanya charity kwa namna ambayo utaona kuwa hatujioneshi wala kujivuna mbele za watu.
Asante in advance kwa ushauri wako
Hii inasababishwa na uzinziUbarikiwe,
Nakumbuka nilielekezwa Bagamoyo. Nikakutana na kituo cha yatima, yule mama anasema hawa sio yatima ni watu wasio na watu, maana wengine walikimbiwa na wazazi wao hospitali baada ya kujifungua.
Nilinyenyekezwa sana na hizo kauli na hiyo ilikuwa sadaka yangu kwa kusherekea kutimiza miaka flani ya kumiliki jiko.