Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Hapana mkuu,hoja ya jamas ni ya maana sana ni kumtia moyo,maana kuna watoto wanapitia magumu sana.
AHahaha Asee mkuu unaniandamaga sana😆😆😆👌🏿
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AHahaha Asee mkuu unaniandamaga sana😆😆😆👌🏿
Mkuu, angalia kelele za abiria zisikupotezee mwelekeo. Kwani hujui kuwa karibia kila kitu kizuri mtu atakachotaka kukifanya, kuna uwezekano wa kupingwa na asilimia ishirini ya watu atakaowashirikisha? Hata liwe zuri kiasi gani, si rahisi likose wapinzani. Na wakati mwingine, lililo zuri zaidi ndilo lina uwezekano wa kupata upinzani mkubwa zaidi.Mkuu kitu ninachojiuliza hadi sasa hasa kwenu mnaodai kuwa nimeuliza hili kwa nia mbaya ni nini hasa? Nimesema wazi tangu mwanzo na wajumbe wengi wamechangia. Naomba uwe mmoja wa tutakaofuatana kufika katika moja ya kituo ambacho tutaamua kwenda pale tutakapokua tayari. Namba yangu ya simu ni 0755963775 Au kama utapenda badi tuonane kwenye kikao ambapo tutaamua kituo ambacho twende na wewe uwe member
✅Hapana mkuu,hoja ya jamas ni ya maana sana ni kumtia moyo,maana kuna watoto wanapitia magumu sana.
A
✅Uongezewe zaidi pale utakapopunguza. Big up sana
Sawa kabisa mkuu!Mkuu, angalia kelele za abiria zisikupotezee mwelekeo. Kwani hujui kuwa karibia kila kitu kizuri mtu atakachotaka kukifanya, kuna uwezekano wa kupinga na asilimia ishirini ya watu atakaowashirikisha? Hata liwe zuri kiasi gani, si rahisi likose upinzani. Na wakati mwingine, lililo zuri zaidi ndilo lina uwezekano wa kupata upinzani mkubwa zaidi.
Usisumbuliwe na mitazamo hasi ya baadhi ya watu. Unapoona mtu anakutuhumu, usijisikie vibaya. Inawezekana tuhuma anazokutuhumu zinamuakisi yeye.
Kwa mwizi, ni rahisi kumwona kila mtu ni mwizi. Kwa mbinafsi, kila atakaloona linafanywa na mtu mwingine ataamini linamnufaisha yeye na siyo anayetendewa.
Wasamehe wanaokutuhumu. Inawezekana wengine wanaexpress hali ya nafasi zao. Wasamehe, lakini usiache kwenda kuwatendea mema watoto wahitaji.
Ni jukumu lako, ni jukumu letu. Kika mmoja atimize wajibu wake kwa kadiri ya uwezo wake.
🙏🙏🙏
You nailed itMkuu, angalia kelele za abiria zisikupotezee mwelekeo. Kwani hujui kuwa karibia kila kitu kizuri mtu atakachotaka kukifanya, kuna uwezekano wa kupingwa na asilimia ishirini ya watu atakaowashirikisha? Hata liwe zuri kiasi gani, si rahisi likose wapinzani. Na wakati mwingine, lililo zuri zaidi ndilo lina uwezekano wa kupata upinzani mkubwa zaidi.
Usisumbuliwe na mitazamo hasi ya baadhi ya watu. Unapoona mtu anakutuhumu, usijisikie vibaya. Inawezekana tuhuma anazokutuhumu zinamuakisi yeye binafsi.
Kwa mwizi, ni rahisi kumwona kila mtu ni mwizi. Kwa mbinafsi, kila atakaloona linafanywa na mtu mwingine ataamini linamnufaisha yeye na siyo anayetendewa.
Wasamehe wanaokutuhumu. Inawezekana wengine wanaexpress hali ya nafasi zao. Wasamehe, lakini usiache kwenda kuwatendea mema watoto wahitaji.
Ni jukumu lako, ni jukumu letu. Kila mmoja atimize wajibu wake kwa kadiri ya uwezo wake.
🙏🙏🙏
Siyo kwamba watu wanapenda kuwawazia watu wengine vibaya, ila wao ndiyo wako hivyo. Kile kilichomo ndani ya mtu ndicho atakachokiona kwa wenzake.Mkuu unanikosea sana. Ni kwa nini uniwazie hivi? Hapa JF ni wangapi nimekutana nao na kufanya nao kazi? Kama upo Dar katibu DM ili siku hiyo twende woote sehemu husika.
Sijui ni kwa nini watu tunapenda kuwawazia wengine vibaya.
Asante sanaa ndugu kwa hili wazo. Ubarikiwe 🙏🏾🙏🏾Tatizo vituo vingi ni vya mchongo,hata mimi nina mpango wa kufungua kituo changu nipige hela.mimi ushauri wangu nenda pale wodi ya wazazi amana au mwananyamalla utaona wamama wanajifungua chini hawana hata hela ya panado wanaume zao walishakimbia siku nyingi ukiwapa hata sabuni ,dawa na nepi utakua umepeleka huduma panapostahili,au nenda temeke hospitali wodi mojawapo ukishirikiana na manesi utapata wagonjwa wasio na ndugu waliokosa huduma
Aisee kama inawezekana nenda vituo vya Yatima vya huko mikoani. Seriously wamesahaulika kabisa. Hawa wa hapa Dar angalau wanakumbukwa kidogo. Nilikuwa morogoro huko ifakara nilishindwa hata nianzie wapi. Wala masister wakatoliki wanaoshughulikia hawa watu Mungu awabriki sana. Mtoa mada ubarikiwe sana.Habari ya wakati huu wakuu. Ninaomba msaada wa taarifa ya kituo chochote cha kulelea watoto yatima ama watoto walio katika mazingira magumu ambacho kiuhalisia kina hali ngumu ya kimahitaji ya kawaida.
Kituo kiwepo Dar es salaam na nitaomba kama utaweza unisaidie mahali hasa kinapopatikana na mawasiliano ya namna ya kufika.
Asante.
Nimefika Muhimbili kwa lengo hili ila sasa process ndefu sana kuandika barua kwa mkurugenzi then unasikilizia siku kadhaa ajibu ndio uruhusiwe kupata hao wagonjwa daah.Tatizo vituo vingi ni vya mchongo,hata mimi nina mpango wa kufungua kituo changu nipige hela.mimi ushauri wangu nenda pale wodi ya wazazi amana au mwananyamalla utaona wamama wanajifungua chini hawana hata hela ya panado wanaume zao walishakimbia siku nyingi ukiwapa hata sabuni ,dawa na nepi utakua umepeleka huduma panapostahili,au nenda temeke hospitali wodi mojawapo ukishirikiana na manesi utapata wagonjwa wasio na ndugu waliokosa huduma
Huu ushauri mzuri, niliwahi kwenda temeke wale wanwatu wao choka mbaya wanawajua. Nilikutana na vitu vya ajabu hadi moyo ukasisimka. Zile sadaka naamini zilifika ikulu kwa Mungu sekunde hiyohiyo.
Mawazo mazuri sanHabari ya wakati huu wakuu. Ninaomba msaada wa taarifa ya kituo chochote cha kulelea watoto yatima ama watoto walio katika mazingira magumu ambacho kiuhalisia kina hali ngumu ya kimahitaji ya kawaida.
Kituo kiwepo Dar es salaam na nitaomba kama utaweza unisaidie mahali hasa kinapopatikana na mawasiliano ya namna ya kufika.
Asante.
Jibu safii sanaa kwa huyu maskini wa fikraaMtoa thread ameomba kituo chha watoto yatima wenye uhitaji hajakwambia anaomba ushauri wa nani ampe msaada.
Tuwe waelewa some times
Kuna ubaya gani mkinufaika wote; yaani mtoa msaada na mpokea msaada?Ukiona mbongo anatoa msaada jua yeye anapata Mara mbili yake za msaada anaotoa
Hauwezi elewa hizi Mambo ....
Upo sahihi kabisa, kuna watu wanajidai mabigwa kutoa misaada huku wakiwaacha ndugu zao kwenye magonjwa na dhiki za kufa mtu!Anza na ndugu zako na wanaokuzunguka wenye mahitaji.
Charity begins at home.
Sasa kusema ni kituo cha kiislam maana yake hakipokei misaada ya makafiri? Au unafikiri jamaa anataka kuleta msaada wa nyama ya nguruwe?0756 41 41 01 Zaidia Orphanage Center. Sinza Madukani. Ni kituo cha kiislamu
Kama kipi kilicho halisi. Tafadhali toa mfano cha wamiliki wenye wito.Lakini kuna vilivyo halisi pia.