Nifanyaje ajue nampenda, nimechoka kujizuia

Nilichomsoma ni mtu ambae anaogopa wadada wa mjini kupitia story zake
Sasa kumbe sababu unaijua halafu unatusumbua tu hapa. Halafu na wewe mbona unaishi kimjini mjini wakati unajua anaogopa na wakati huo huo unamtaka. Hii ni sawa na kimbaka, mwache kijana wa watu akaoe kijijini
 
Muoneshe papuchi yaishe, hawezi vumilia aione halafu anyamaze.
 

Mimi ni kabila kati ya yale makabila maharufu ya kanda ya kati
Ni mweupe peee
Futi 5
Shepu kawaidaa ( mwenyewe ananiniambia nina sexy body [emoji13][emoji13])
Nishamwambia thank u for dinner mara moja tu( huwa nasahau)
Nachelewaga sana kufika meeting yaani akisema saa 12 mimi nitafika saa 3( huwa ana mind hata kutaka kuhairisha but sijawah sema samahani)
Siongei mpk aongee ( kwanza I feel ashamed so siwezi ongea bila yeye kuleta story)


Halafu wewe jamaa unataka nifungue code nini
 
Mjini hata wanawake bora wapo ni vile tu mnaonaga kama mjini wanawake ni wahuni unajua aliwahi niambia wanawake wa usukumani ni tofauti na wa town sikutilia maanani
Ungezingatia hilo ungekua ushampata.

Iga zifa za wadada wa usukumani ili upate mume
 
Sasa kumbe sababu unaijua halafu unatusumbua tu hapa. Halafu na wewe mbona unaishi kimjini mjini wakati unajua anaogopa na wakati huo huo unamtaka. Hii ni sawa na kimbaka, mwache kijana wa watu akaoe kijijini

Aisee hivi mtu wa kijijini anaweza kufanana na wa mjini basi ni vigumu kwasababu mimi sijaishi huko so sijui life styles yao but mimi niko normal tu
 
We una nyege huna lolote hii ni thread ya ngapi unashusha hapa jukwaani kenge wee.
 
Duh ndo umekuja kunitangaza hadi huku!

Anyway, sikupendi mana una kigimbi kama cha msuva
 
Dada tafadhali Mimi sio msukuma mi mtu wa Kilimanjaro sema nimeishi tu usukumani, hua naelewa sana signal zako sema wanawake jamii yako ww sio vitu vyangu kbs huna taaa co ll, una sauti nzito kigimbi tani mbili & na mdomo unatema harufu mbaya
Kigimbi tani mbili 🤣🤣🤣🤣🙌, Mzee wa migombani unazingua daah 😆😆😆
 
Zamani hii ilikuwa mwiko ila saiv wakiona kuchelewa wanajisogeza wenyewe.

Alafu baadae uje uulize una lengo namm au unataka kunichezea?
 
Aisee hivi mtu wa kijijini anaweza kufanana na wa mjini basi ni vigumu kwasababu mimi sijaishi huko so sijui life styles yao but mimi niko normal tu
Anyway, hiyo sio issue sana kuwa wa mjini au wa kijijini. Nilisema vile wewe mwenyewe ulijihukumu kuwa anakuona wa mjini na anogopa wanawake wa mjini.

Hata huyo wa kijijini akiingia mjini anakuwa wa mjini tena atataka kuwapita wa mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…