Jibu haya maswali, ukijibu kwa ufasaha nitafanya haya....
1. Nitakwambia ikiwa anakupenda ama hapana.
2. Nitakwambia nini ufanye ili umpate.
Maswali....
1. Wewe ni kabila gani?
2. Wewe ni mweupe au mweusi kwa rangi?
3. Ni mrefu au mfupi?
4. Una shepu gani?
5. Ukiwa nae huwa unamwambia asante kwa chochote anachokufanyia?
6. Ukichelewa kufika sehem mliyokubaliana kukutana akakusubiria muda mrefu huwa unaomba samahani?
7. Mkiwa wote, wewe pia ni mwongeaji sana na huwa unamkatisha kabla hajamaliza kuongea?
Hayo ni kwa ufupi, ukiyajibu kwa moyo wa dhati bila unafiki, nakuambia anakupenda au hapana.