Kuna mambo ya msingi umeulizwa hukuyajibu.Asante
Asante kwa ushauri
Mimi nipo mkoa wa Dar Es Salaam...naishi Kigamboni....na ningependa biashara yangu nifanyie hapahapa Dar Es SalaamKuna mambo ya msingi umeulizwa hukuyajibu.
Mfano, uko mkoa gani au wilaya gani? Ungependa biashara yako ufanye mkoa gani?
Huyo anaekushauri ujenzi wa vyumba 20 hamna kitu hapo. Mafundi wengi wapuuzi huwa wako vile wanarahisisha mambo ili wapate kazi mwisho wa siku utaishia vyumba 10 tuu tena bila kukamilika.
Biashara ya zipo nyingi lkn eleza unataka kufanya wapi?
Anzisha Baa mkuu. Wateja ni wa kumiminika, utapata laki na zaidi.
😂😂Yani umeona uwapige kichwani watu wa sekenkeUko wapi, una mtaji gani? Maana waweza kuwa Misigiri ukashauriwa vitu vya kufanya oysterbay Dar es salaam vya mitaji ya mamilioni wakati wewe una 150k tsh.
Hahaahaha yani mtu apange kwenye pagala la matofali kisa ubahili wa hela?Kwa ujenzi huo unamkomowa nani?
Shughuli ni kuzi import hizo pisi kila wakati nilishindwa kwa kweli! Bar mademu hawatakiwi kumaliza 3 mos! Uwe ushawabadili sasa hizo gharama unadhani ni lelemamaKwa hiyo wateja wakishawala wahudumu kwa sana, unawabadilisha ili wateja wasihame... Wanaendelea kula pisi mpya kila wakati...idea nzuri sana hii....
Ha ha kirahisi hivyo [emoji1][emoji1]Anzisha Baa mkuu. Wateja ni wa kumiminika, utapata laki na zaidi.
Chanika labdaNyumba ya dizaini hiyo utajenga wapi hapa dar? Na kiwanja utakinunua bei gani na wap?
hahahahahaKwa ujenzi huo unamkomowa nani?
hahahahahaHahaahaha yani mtu apange kwenye pagala la matofali kisa ubahili wa hela?
Mambo ya kizamani kweli yani😅 toka enzi za Mwajuma wowowo!hahahahaha
Itakuwa mbagalaNyumba ya dizaini hiyo utajenga wapi hapa dar? Na kiwanja utakinunua bei gani na wap?
Unicheki PM nikupe muongozo wa uhakikaHello nifanye biashara gani, lengo langu nipate angalau laki moja kila siku.
Binafsi napenda saloon ya kike lakini sina uhakika kama nitaingiza laki moja kwa siku.
Naomba Ushauri wenu tafadhali.
Forex sio mchezo.Kacheze Forex
Kama sio mchezo ni kitu gani?Forex sio mchezo.
Kweli ww msangarufu ha ha.. basi ukawa ukiitwa dear unapagawa [emoji1][emoji1]Daah
Kuwa mpole sana kufanya maamuzi usije angamiza hela yako.
enewei nilikuwa najua mtu akikuita dear anakupenda nashangaa wewe unawaita watu dear, kumbe kishkaji tuu
nimetongoza wengi kisa kuniita dear tuu.