Nifanye maamuzi gani kwa huyu mwanamke?

Uzi uishie hapa
 
Hapa maamuzi binafsi ndio sahihi sana. Ilimradi kama huna mpango wa kudhuru uhai kwa yeyote kati yenu
 
Hakuna mke hapo boss na ww chapa potea
 
Ungekuwa mwanaume naamini hata usingeileta hapa hii stori badala yake sahizi huyo mwanamke angekuwa ameshaanza kuzoea maisha nje ya wewe.
 
Ushauri
  • Potezea kama vile hujaona ila itakutafuna ndani kwa ndani.
  • Muulize akudanganye ili upate amani ya moyo.
  • Husijifunge kwenye kivuli cha mahari.
  • Sema na moyo wako fanya maamuzi sahihi kwa ajili ya kesho yako.
 
Ushauri
  • Potezea kama vile hujaona ila itakutafuna ndani kwa ndani.
  • Muulize akudanganye ili upate amani ya moyo.
  • Husijifunge kwenye kivuli cha mahari.
  • Sema na moyo wako fanya maamuzi sahihi kwa ajili ya kesho yako.
Pointi nne nzito sana hizi. Nimekupata kwa uzuri mkuu. Asante
 
Kuna dem mmoja ni mzur sana huwa anasema kachapika sana dar lakin hakuna alietaka kumuoa mwsho wa siku aliamua kurudi mkoani ila anasema mijamaa ya dar inatoa hela vzur sana lakin kuoa haina habar kabisa
 
Ongea nae tuu, ushauri wa humu ndani mwingi ni wa kupiga short 🤣🤣 akili kichwani mwako.
 
Ukitaka Malaika. Muumbe wewe.

Kwani wewe huna mabaya yako ambayo yeye hajui?

Kuna hizo picha na video kwamba ulimkuta bikra kana kwamba Sasa amechepuka au
Tumia akili kwa amelezo ya jamaa alikuwa tayari amisha mtolea mahali maana kwa hali hiyo alikuwa Mke halala,kwa hiyo wewe unaona ni sawa Mke wa mtu ku act namna hiyo?
 
Kaka pesa zinatafutwa,acha ujinga utakuja jutia.Huyo ni kahaba na hilo swala ukiendelea kuishi naye halitakuja toka moyoni mwake na huwezi mpenda tena huyo Mwanamke.
Piga chini tafuta mwanamke mwingine.
 
M s o j a

Tunaomba feedback.

Au kama Vipi mtumie link ya huu uzi uyo manzi wako asome aone jinsi tusivomtetea ushenzi wake.

Kwanza usikute yupo Jf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…