Nifanye nini ili niache tabia ya ubishi?

Binafsi sioni tatizo lako labda kama unapenda kufurahisha watu inakubidi utoke kwenye uhalisia wako uwafurahishe wengine.
Hata mimi sioni tatizo lake, ila lazima awe tayari kukosolewa na kujibu hoja.

Kupenda kwake kusoma na kujua mambo, hakumfanyi mmiliki wa elimu husika.

Lazima uwe tayari kukosolewa kwa hoja na kujibu hoja. Huo ndio utaratibu wa kujifunza, elimu aina mwisho.
 
Sure, Na sio lazima kukubali kila kitu ,isitoshe kibongo bongo kuna ujinga mwingi tunapenda kuaminishana.
 
Huwa inakelra endapo unaye bishana naye hana hoja za msingi na hasa kwa jamba ambalo unalijua na unaishi nalo
Unaweza ukawa unaliishi ila pia ukawa hauna ufahamu nalo ,kuna jamaa alikua anaamini tumbo linalomuuma kalogwa ,yule jamaa nilimbishia kwa Dalili zake alikua na vidonda vya tumbo chronic mwisho wa siku kwa ujinga wake akakatwa utumbo.
 
Nip9 kama wewe ila nimejifunza kukaa kimya naongea inapobidi tu. Tatizo langu ninalopambana nalo ni kumkatisha mtu anapokuwa akibielezea jambo, nikishamelewa huwa namkatisha ili kumpa jibu, huwa naona ananichelewesha maana nakuwa nishamwelewa ila annaendelea tu kuelezea, tabia hii huwa inawakera watumishi wenzangu hasa ninaowaongoza takriban watumishi30
 
Unaweza ukawa unaliishi ila pia ukawa hauna ufahamu nalo ,kuna jamaa alikua anaamini tumbo linalomuuma kalogwa ,yule jamaa nilimbishia kwa Dalili zake alikua na vidonda vya tumbo chronic mwisho wa siku kwa ujinga wake akakatwa utumbo.
Soma na kuelewa nikicho andika, nisema unalijua na kuishi nalo, kujua ninavyo fahamu mimu, is to know something in and out

Kujua VS kufahamu
 
Usihofu sana ni hatua njema kama umeshajitambua hivyo. Je unatokea Mara, Kigoma au Mbeya?
 
Soma biblia +tafakari neno la Mungu.
 
Endelea kubishana, kwani inatudhuru nini sisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…