Wewe siyo mbishi.Tunafanana tabia isipokuwa sehemu moja tu, mimi napenda kukosolewa.
Lazima uwe mmbishi anaekupinga, akupinge kwa hoja.
Wewe ni Mha mkuu, au Mjita?Habari wanaJF,
Nilikuwa naombeni msaada wa kimawazo nifanye nini kuacha tabia ya ubishi na kuwa na misimamo mikali usiyobadilika.
Hizi tabia nimeanza mdogo sana kubishia wazazi na kusimama na misimamo yangu mpaka mauti itakaponikuta.
Hii hali imepelekea kugombana na wengi pia kupendwa na wengi.
Na pia imepelekea kuwa msomaji na mdadisi wa mambo ilinikibisha na kusimamia kitu katika uelewa.
Tabia hii ya ubishi na misimamo mikali imesababishe nisipende kukosolewa kwa lolote lile na huku nikiamini nipo sahihi
Naombeni ushauri wenu ndugu nimekuwa kiumbe cha tofauti kabisa si amini Mungu kama nyie.
Ukiwa na tabia ya ubishi huwezi kuvumilia kukaa kimya hadharani.Jenga mazoea/tabia ya kusikiliza zaidi kuliko kuongea.
Siku moja Ukiona ffu wapo barabarani jogging simama wazuie! Utanishukuru baadaeHabari wanaJF,
Nilikuwa naombeni msaada wa kimawazo nifanye nini kuacha tabia ya ubishi na kuwa na misimamo mikali usiyobadilika.
Hizi tabia nimeanza mdogo sana kubishia wazazi na kusimama na misimamo yangu mpaka mauti itakaponikuta.
Hii hali imepelekea kugombana na wengi pia kupendwa na wengi.
Na pia imepelekea kuwa msomaji na mdadisi wa mambo ilinikibisha na kusimamia kitu katika uelewa.
Tabia hii ya ubishi na misimamo mikali imesababishe nisipende kukosolewa kwa lolote lile na huku nikiamini nipo sahihi.
Naombeni ushauri wenu ndugu nimekuwa kiumbe cha tofauti kabisa si amini Mungu kama nyie.
Akipata uteuzi Mkurugenzi wa Halmashauri atabishana na watendaji wake pamoja na madiwani.Ndio ""Paap" Mungu bariki kesho unapata uteuzi wa madaraka kuwa boss sehemu fulani, tuseme "Mkurugenzi wa Halmashauri X""
Aiseee sipati picha hiyo ofisi itakavyokuwa.
Watu kama nyie ofisini mko wengi balaaa, huwa hamtaki ushauri kutoka kwa junior staffs kabisaaaa.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mkuu ni kweli kabisaNdio ""Paap" Mungu bariki kesho unapata uteuzi wa madaraka kuwa boss sehemu fulani, tuseme "Mkurugenzi wa Halmashauri X""
Aiseee sipati picha hiyo ofisi itakavyokuwa.
Watu kama nyie ofisini mko wengi balaaa, huwa hamtaki ushauri kutoka kwa junior staffs kabisaaaa.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mzee mimi ni mzidi Steve buanaKatakuwa kama Steve Mwengele 😀😀
🤣🤣kama ufupi unaazia hapo duniani wengi ni wafupi ishitoshe bado nakuuaNi
Ni sawa na 118cm which implies kuwa wewe ni mfupi brother.
Mimi ni mpare wa KILIMANJAROUsihofu sana ni hatua njema kama umeshajitambua hivyo. Je unatokea Mara, Kigoma au Mbeya?
AsanteHata mimi sioni tatizo lake, ila lazima awe tayari kukosolewa na kujibu hoja.
Kupenda kwake kusoma na kujua mambo, hakumfanyi mmiliki wa elimu husika.
Lazima uwe tayari kukosolewa kwa hoja na kujibu hoja. Huo ndio utaratibu wa kujifunza, elimu aina mwisho.
Kwanini wakati wanadanganyanaKua msikilizaji mzuri kuliko muongeaji.
Kubali kujifunza au Usijifanye unajua sana hata kama unajua kweli..
Chukulia poa mambo mengine ukikuta wanabishana hata kama unajua sio lazima kuanza kufafanua.
Hata hapo atabishaWatu wafupi ndio mlivyo
Itabidi Umu'add kwenye lile group lenu la WhatsApp..Endelea kubishana, kwani inatudhuru nini sisi?
Futi 3.8 =45.6 inches =0.000719697 miles
That is not dwarfism
Tabia imashachimba mizizi.Umeanza ubishi wako?
Habari wanaJF,