Nifanye nini ili niache tabia ya ubishi?

Habari wanaJF,

Nilikuwa naombeni msaada wa kimawazo nifanye nini kuacha tabia ya ubishi na kuwa na misimamo mikali usiyobadilika.

Hizi tabia nimeanza mdogo sana kubishia wazazi na kusimama na misimamo yangu mpaka mauti itakaponikuta.

Hii hali imepelekea kugombana na wengi pia kupendwa na wengi.

Na pia imepelekea kuwa msomaji na mdadisi wa mambo ilinikibisha na kusimamia kitu katika uelewa.

Tabia hii ya ubishi na misimamo mikali imesababishe nisipende kukosolewa kwa lolote lile na huku nikiamini nipo sahihi

Naombeni ushauri wenu ndugu nimekuwa kiumbe cha tofauti kabisa si amini Mungu kama nyie.
Wewe ni Mha mkuu, au Mjita?
 
Kuna mwanasaikolojia namsikilizaga tiktok anasema" ujinga ukikubalika na wengi hufanywa kuwa fact na kundi hilo" sasa huenda nawe ukajiunga kwenye kundi la wajinga wanaoamini wapo sahihi kwa sababu ni wengi.
Osho alisema kundi kubwa la binadsmu hawajitambui kazi yao ni kufuata mkumbo.
 
Si
Habari wanaJF,

Nilikuwa naombeni msaada wa kimawazo nifanye nini kuacha tabia ya ubishi na kuwa na misimamo mikali usiyobadilika.

Hizi tabia nimeanza mdogo sana kubishia wazazi na kusimama na misimamo yangu mpaka mauti itakaponikuta.

Hii hali imepelekea kugombana na wengi pia kupendwa na wengi.

Na pia imepelekea kuwa msomaji na mdadisi wa mambo ilinikibisha na kusimamia kitu katika uelewa.

Tabia hii ya ubishi na misimamo mikali imesababishe nisipende kukosolewa kwa lolote lile na huku nikiamini nipo sahihi.

Naombeni ushauri wenu ndugu nimekuwa kiumbe cha tofauti kabisa si amini Mungu kama nyie.
Siku moja Ukiona ffu wapo barabarani jogging simama wazuie! Utanishukuru baadae
 
Ndio ""Paap" Mungu bariki kesho unapata uteuzi wa madaraka kuwa boss sehemu fulani, tuseme "Mkurugenzi wa Halmashauri X""

Aiseee sipati picha hiyo ofisi itakavyokuwa.

Watu kama nyie ofisini mko wengi balaaa, huwa hamtaki ushauri kutoka kwa junior staffs kabisaaaa.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Akipata uteuzi Mkurugenzi wa Halmashauri atabishana na watendaji wake pamoja na madiwani.
Atakuwa chanzo cha vurugu kwenye Halmashauri husika baadaye atatenguliwa.
 
Ndio ""Paap" Mungu bariki kesho unapata uteuzi wa madaraka kuwa boss sehemu fulani, tuseme "Mkurugenzi wa Halmashauri X""

Aiseee sipati picha hiyo ofisi itakavyokuwa.

Watu kama nyie ofisini mko wengi balaaa, huwa hamtaki ushauri kutoka kwa junior staffs kabisaaaa.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mkuu ni kweli kabisa
Naweza kukusikiliza vizuri tu ila msimamo na maamuzi yapo pale pale.
 
Hata mimi sioni tatizo lake, ila lazima awe tayari kukosolewa na kujibu hoja.

Kupenda kwake kusoma na kujua mambo, hakumfanyi mmiliki wa elimu husika.

Lazima uwe tayari kukosolewa kwa hoja na kujibu hoja. Huo ndio utaratibu wa kujifunza, elimu aina mwisho.
Asante
 
Kua msikilizaji mzuri kuliko muongeaji.

Kubali kujifunza au Usijifanye unajua sana hata kama unajua kweli..

Chukulia poa mambo mengine ukikuta wanabishana hata kama unajua sio lazima kuanza kufafanua.
Kwanini wakati wanadanganyana
Je nikifanya hivyo sio unafiki
 
Nenda KIGOMA Ukafanye mazoezi kwa vitendo ubishi utaisha...maana nimeona humu mmoja kasema waha wasihusishwe...ila tahadhari usijekuludi na tatizo lingine la Ubahili.
 
Habari wanaJF,

Nilikuwa naombeni msaada wa kimawazo nifanye nini kuacha tabia ya ubishi na kuwa na misimamo mikali usiyobadilika.

Hizi tabia nimeanza mdogo sana kubishia wazazi na kusimama na misimamo yangu mpaka mauti itakaponikuta.

Hii hali imepelekea kugombana na wengi pia kupendwa na wengi.

Na pia imepelekea kuwa msomaji na mdadisi wa mambo ilinikibisha na kusimamia kitu katika uelewa.

Tabia hii ya ubishi na misimamo mikali imesababishe nisipende kukosolewa kwa lolote lile na huku nikiamini nipo sahihi.

Naombeni ushauri wenu ndugu nimekuwa kiumbe cha tofauti kabisa si amini Mungu kama nyie.

Ondoa hiyo avatar yako ya utajua wewe!
 
Back
Top Bottom