Nifanye nini ili niweze kuingiza laki mbili kwa wiki nje ya mshahara?

Nifanye nini ili niweze kuingiza laki mbili kwa wiki nje ya mshahara?

Kijana acha tamaa.

Anza kidogo kidogo,
kuwaza vikubwa wakati hata vidogo huviwezi ni hatari na UTAPOTEA.

Kwa kijana mpya asokua na uzoefu wa biashara.

Kwa huo mtaji wa million Moja,
Faida yake inastahili kua elfu 20-30 kwa wiki.

NB: Hiyo faida (Mapato-Matumizi) ya laki 2 kwa mtaji wa million Moja ni Ndoto.

Vinginevyo unaongelea MAPATO ya laki 2 kwa wiki.

Kiuhalisia,
Kama unataka Faida ya Laki 2 kwa wiki,
Itakubidi uwe na MAUZO yasopungua Millioni 2 kwa wiki.

Sasa,
MAUZO ya million 2 wakati Mtaji wako ni Millioni 1 ni KICHEKESHO CHA MWAKA itakua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungesoma MTU nliomjibu ili anipe mfano coz watu wanadanganya hapa Jf vtu ambavo hawajawahi practice
 
Shauri shauri lolote Chinga,

Kwa lugha rahis, nina hitaj mawazo ya Biashara yanayoweza kuniipatia kipato cha had lak 2 kwa wiki

Mtaj wa kuanzia million moja

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unatuchanganya,

Hebu nyoosha maelezo ueleweke uweze Kushaurika Vizuri.

Hivi unaongelea Mapato ya laki 2 kwa wiki au Faida ya Laki 2 kwa wiki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana acha tamaa.

Anza kidogo kidogo,
kuwaza vikubwa wakati hata vidogo huviwezi ni hatari na UTAPOTEA.

Kwa kijana mpya asokua na uzoefu wa biashara.

Kwa huo mtaji wa million Moja,
Faida yake inastahili kua elfu 20-30 kwa wiki.

NB: Hiyo faida (Mapato-Matumizi) ya laki 2 kwa mtaji wa million Moja ni Ndoto.

Vinginevyo unaongelea MAPATO ya laki 2 kwa wiki.

Kiuhalisia,
Kama unataka Faida ya Laki 2 kwa wiki,
Itakubidi uwe na MAUZO yasopungua Millioni 2 kwa wiki.

Sasa,
MAUZO ya million 2 wakati Mtaji wako ni Millioni 1 ni KICHEKESHO CHA MWAKA itakua.

Sent using Jamii Forums mobile app

😊😊😊😊😊....
 
tuseme ukwel...labda kama hajawah fanya biashara ndo anaota hayo..mtoa mada HAIWEZEKANI...kwann nasema haiwezekan..mtaji wako mdogo sana...imagine 1m ikulipe 200kweekly??mbn watu wanageacha kazi...labda uniambie kwa 10_20m...!...labda useme 50000 kwa week hapo na mm ningetia neno[emoji4]!
Nyie watu bwana. Anyaway ngoja tuyaache
 
Kama ni.mapato pia kwamtaji wa 1m upate mapato ya 200k sawa..ambayo faidia haizid 40
Kiuhalisia,
TRA wakiskia una biashara inayoingiza laki 2 kwa wiki,

Haraka sana, itaandikwa barua ya kwenda TISS kwa ajili ya kukuchunguza.

Kisha,
Utakabidhiwa Kimashine cha EFD na utatambulika rasmi kama mfanyabiashara mkubwa.

Hata kama mtaji wako ni Millioni Moja.

UKITOKA HAPO,
UTAANZA KUILAUMU SERIKALI KWA UJINGA WAKO MWENYEWE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dadavua mkuu...na ni bora ukidadavua uwe umepita huko..usilete habari za matikiti hap(mfano)
Kuna watu humu wanafanya biashara za kwenye Makaratasi.

Biashara Sio rahisi kama watu wanavoichukulia.

Hawa vijana wa vyuo vikuu, Wanapotoka sana skuhizi.

Wakishameza Notsi za Ujasiliamali wanachukulia Biashara ni kujichumia tu faida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu humu wanafanya biashara za kwenye Makaratasi.

Biashara Sio rahisi kama watu wanavoichukulia.

Hawa vijana wa vyuo vikuu, Wanapotoka sana skuhizi.

Wakishameza Notsi za Ujasiliamali wanachukulia Biashara ni kujichumia tu faida.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuna sehemu inayohitaji uvumilivu kama wa Paulo na silla kama kwenye biashara...kuna changamoto sana..INGAWA HELA KITAA IPO
 
Hakuna sehemu inayohitaji uvumilivu kama wa Paulo na silla kama kwenye biashara...kuna changamoto sana..INGAWA HELA KITAA IPO
Kuna kitu Nimetafakari,

Kijana anasema Biashara Mtaji uwe Millioni Moja.

Anasahau kua,
Kwa biashara mpya, Kuna vitu vya kuanzia biashara ni lazima atavinunua na havitaingiza pesa kamwe kwenye biashara yake.

Mfano:
Fenicha, Mzani, Ukarabati wa sakafu au Ukuta, Kodi ya pango,tra n.k

Kiuhalisia,
Akiongelea mtaji wa million Moja, Ela itakayoingia kwenye mzunguko kwa Mara kwanza haitozidi laki 4.

Hiyo laki 6 itapotelea kwenye vitu ambavyo havizalishi wakati wa kuanza biashara mpya.

hahahhaa yy huko hajawaza...huenda akapata sehem isiyohitaj ukarabati au hizo fenicha...
 
Back
Top Bottom